Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Tulishajenga mengi, kama ni flyovers ziko kibao, sgr up n running ata kama ni mikebe ya chang'aa vile mnapenda kuponda, it's running, nyie bado mnajenga ya umeme, like Ethiopian, Airlines tunazo, ata kama the main;kq ni loss making kwa sasa pia atcl ni loss making na ndio mumeanza,(a trend across the globe, save for few) bara bara tunazo with interchanges, kutoka Thika superhighway, outer ring, eastern bypass, Ngong road, Redhill Rironi, etc, and now adding more roads kimya kimya. In Mombasa Dongo Kundu Phase 2 on going well, was there before lockdown., flyovers kadha are done, underpasses na overpasses being worked on, I don't know why watu wa Mombasa hawaja update humu, sizioni Google but ziko, coastarians wametulia sana, kazi iko kubwa tena on your way to areas za Miritini/Njomvu, near Tudor estate, road works are running., Mombasa itakua balaa!., hamjui hizo, Lamu kazi ipo, na mengi tu.
The Japanese launched works on their SEZ(special economic zone) in Mombasa, Chinese pia walifwata., munaeza confirm doubting Thomases humu.
Kwa sasa nyie hamukukua na maendeleo kwa wingi, sasa mumeziona nikushangaa na kushangilia hadi vitu kama lift., masikini akipata matako hulia mbwata., ndio nyinyi watanzania., tulia we will compare notes around 2022., plus the size of economic productivity., sio pang'ang'a mingi. Mko na domo domo sana! Gap ikiongezeka mnalia lia eti makaratasi

I schooled with Tanzanians in campus, mnapenda kupingana sana, debates ni zenyu.

nina raha humu.,
Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app

wakenya naomba mtutumieni bas miradi yenu U/C ili nasi tupate faraja kidogo kwamba wenzetu pia nchi yenu inapiga hatua kimaendeleo, sio sisitu humu ndo tunaonyesha miradi U/C
Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
tu humu ndo tunaonyesha miradi U/C