Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya naomba mtutumieni bas miradi yenu U/C ili nasi tupate faraja kidogo kwamba wenzetu pia nchi yenu inapiga hatua kimaendeleo, sio sisi tu humu ndo tunaonyesha miradi U/C
Tunapowaonesha miradi yetu iliyokamilika wanakuambia wao walikuwa nayo miaka 10 iliyopita, ukiwaambia wekeni humu wanajibu Google is ur friend
 
bora kuweka tausi aisee kuliko mi-concrete ambayo hata haijafinyangwa kiutaalam. Mi sijui kama tunajua the concept behind recreational park!

Gaerten_der_Welt.jpg


leisure-park-and-recreational-park-luebars-village-reinicken-berlin-JKNJAY.jpg


612664395a40232133447d33247d383238363938313237


_DSC1787.jpg


5b23864cda3bf.jpg
hapa wapi bro??
 
Pamekua pazuri sana hapa, Kuna LED screens kubwa hapo pamoja na billboards kadhaa usiku pananoga sana na BRT zinavyopishana hapo kuelekea Morocco zingine Ubungo na Kimara Zingine Posta Gerezani. Ukitegesha Go Pro Hapo kwa timelapse na light trails utadhani sio Bongo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
go hero 8 itapendeza zaidi👏👏😊😊 najua ndio mambo yako budaa
 
Hii karibu kabisa na mihogo point Coco Beach.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Wamalize wagonge park ya maana wakitumia 10 bil Tsh najua kitatoka kitu cha maana hapo..tukipata na ka open air auditorium , na classic restaurants hivi , walk ways na vi vyumba vyumba pembeni magoli, ka basket ball na volley ball court, sehemu za massage , na outdoor movie theatre

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom