huku Tanzania, jua linawaka balaa na maisha yanaendelea kama kawaida
Corona tumeipa masharti mawili
1. Iondoke nje ya mipaka yetu
2. Kama imeamua kubaki, ikae kwa kutulia na heshima . Maisha lazima yaendelee



Hakuna cha lockdown wala cha baba yake na lockdown wala cha mama yake na lockdownhuku Tanzania, jua linawaka balaa na maisha yanaendelea kama kawaida
Corona tumeipa masharti mawili
1. Iondoke nje ya mipaka yetu au
2. Kama imeamua kubaki, ikae kwa kutulia na heshima . Maisha lazima yaendelee



Uyo first lady mbn ana sura ngumu hvyoTBT: a day Kenya President's balls were squeezed and Presidential Guard could do nothing about!
Ni marehemu baada ya Kibaki kuhapa hana mwanamke mwingine, saahii ana Mary WambuiUyo first lady mbn ana sura ngumu hvyo
TBT: a day Kenya President's balls were squeezed and Presidential Guard could do nothing about!
Wakiwa ndani ya Kenya wanaongea hivyo kama kabila ila wakiwa na issue inayohusu nchi nyingine wanakuwa Wakenya! Asipoangalia anaweza asirudi akiingia Uganda!Wanadai haki yao kwenye nchi ya ugeni,
Nilipita jmos Apo. ..nashindwa kuelewa wanajenga bus terminal au wanatafuta kuzungumiwa na vyombo vya kimataifa. ..yani lengo lao Hasa ni nn...Ni too much yani...ikiisha mtastaajabu
Iyo pesa inaweza saidia sana katika kufanikisha budget ijayo pale inapopelea...Tupunguze kuazima pesa kwa mariba makubwa...imekuja yenyewe iyo,lazima tunufaike na madini yetu
Jamaa wa hovyo sana. Wqmekurupuka kweli kweli.Wanadai haki yao kwenye nchi ya ugeni,
Escalator ndio mnaenda kufanya eneo la picha...Nyeri ni kitongoji cha mji gani apo kwenu?Town kama Nyeri iko na escalator., I dont know ni number ngapi Kenya, not even amongst the best 10., ingekua ni Tz Ichoboy unge type; "tazama Nyeri baby!"
Sent using Jamii Forums mobile app
NilipitaNilipita jmos Apo. ..nashindwa kuelewa wanajenga bus terminal au wanatafuta kuzungumiwa na vyombo vya kimataifa. ..yani lengo lao Hasa ni nn...Ni too much yani...ikiisha mtastaajabu

Ni babkubwa yani bonge la terminal ever builtMkuu, Sijaelewa, Kazi nzuri au mbaya ?![]()
Hatari mzee