Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
mm siwez kua na uchungu na nchi ina mabalaa ya kila aina kwanzia jamaa na mengineo wakat nchi yangu ina amani na utulivu 😂😂😂 tafuta cobstruction board ukipata mm nafunga acc jamii forum mark my wordsRoho mbaya vipi?., nani anamachungu na Kenya kama sio wewe?, and no one has said eti tunaonewa, I aplaud our free and liberal media, wana report kila kitu, sio eti uzalendo wa kijinga (blind patriotism), Tanzania mtu akowaambia ukweli kama haiwafurahishi mnasema yeye si mzalendo, ama ananyamazishwa, nchi ovyo kweliAlafu wakenya wana roho mbaya kivipi? tunapenda ukweli, wewe vumilia tu.,
kaka endelea kutafuta taarifa za kukufurahisha, ilhali ukweli tunaijua.
Sent using Jamii Forums mobile app









ngoja matokeo tu.
mm siwez kua na uchungu na nchi ina mabalaa ya kila aina kwanzia jamaa na mengineo wakat nchi yangu ina amani na utulivutafuta cobstruction board ukipata mm nafunga acc jamii forum mark my words






ebana nimecheka kwa nguvu sana
and yet haina vitu basic kama maji!Town kama Nyeri iko na escalator., I dont know ni number ngapi Kenya, not even amongst the best 10., ingekua ni Tz Ichoboy unge type; "tazama Nyeri baby!"
Sent using Jamii Forums mobile app
matokeo ninkusubiri construction board😂😂



, hatufichi uchi, kila kitu mtajua and then numbers wont lie, did you watch news how Cape town at times can run without water for weeks?., and can you compare it to your LDC paradise Dar?




dont judge a thing by its setbacks kuna positives tu kibao., 




and yet haina vitu basic kama maji!
yani nimecheka jamaa amekaa kabisa 😂😂Town kama Nyeri iko na escalator., I dont know ni number ngapi Kenya, not even amongst the best 10., ingekua ni Tz Ichoboy unge type; "tazama Nyeri baby!"
Sent using Jamii Forums mobile app







haya basi., tafuta board



mie ndakuletea picha ya escavaters tu....



matokeo ninkusubiri construction board![]()
unaesema wewe huna ushahidi alaf nitafte mm tena bro be serious plz😂😂😂😂You always will want to have the last sayhaya basi., tafuta board
mie ndakuletea picha ya escavaters tu....
Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app