Quinn
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 473
- 1,185
Huu mwaka, nahisi Mungu alilenga kuonesha uwezo wa JPM, the guy is gifted.
Mwishoni mwa mwaka, wenzake watakuwa wanaugulia kudorola kwa uchumi kutokana na Covid-19, yeye atakuwa anafungua miradi yake mara SGR, upanuzi wa Bandari, mahospitali ya Rufaa n.k
Utashangaa anatia order ya ndege ya mizigo kipndi hichi cha Corona..uyu jamaa watamuona ni freemason
Sent from my iPhone using JamiiForums