Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya misaada ni ya wanaoishi kaskazini mwa nchi - jangwani. Wafugaji wanyama wanaohama hama.
Culture yao ndio makosa, na wamekataa kuishi pahali pamoja ili wajipange kiukulima na kikazi.

Lakini vile vile, statistically average ya wakenya wote ikifanywa. Na average ya watanzania wote, Tanzania imepatikana kuwa more malnourished ama undernourished.
Yaani watanzania wengi wanalala njaa ama hawashibi, kuliko wakenya.

Kenya media yetu ni huru. Ina uhuru wa kutangaza mabaya ya nchi. Kwa hivyo kesi za njaa zitaonekana kuwa mingi.
Tanzania hakuna media huru.

View attachment 1455647
Hv vidata uchwara ndiyo huwa vinawapumbaza wkt uhalisia hauko hvyo,vitu kwa Ground ndo unakuta watu wanapika mawe, na vitu km hivyo, ila vitu km hvyo Tz hakuna mngeshawasikia kina Zitto, Lissu, Fatuma Karume, kina Mange, au hao nao hawana uhuru.
 
Walio na uhuru ni mashirika ya kitaifa.
UN, WHO, FAO, USAID, IMF etc.

I prefer kwenda na data zao, sio data zako.
 
Huo ndiyo uhalisia, kenya ni nairobi pekee, ila Tz maendeleo zaidi ya mikoa 10 ss utafananishaje hapo
Nairobi hupata chini ya Ksh20 billion ya pesa ya kaunti, out of bilioni karibu 400.

Sio lazima maendeleo yote ya Kenya tuyalete Jamiiforums, na yanayoletwa ni machache. Personally mimi siweki catalog yoyote.

Lakini hii hapa miradi tatu ya hivi majuzi.

Dongo Kundu, Mombasa
do2.JPG

do1.JPG

Hospitali mpya Kakamega

Hospitali mpya kilifi
kakamega.JPG
 
Hizi ngonjera bakisha huko huko sina haja nazo,

Kwamba media ndio inapunguza na kuongeza umasikini

Hivi huwa mnasoma mnachokiandika au mnaandika tu ili mradi

Tanzania’s Path to Poverty Reduction and Pro-Poor Growth

Mnatumia nguvu nyingi kudanganya kuhusu nchi yenu huku mkisahau kuwa mpo kwenye forum ya wanaowafahamu kila kona

Kuchagua tu habari zinazo onyesha Tanania pazuri.

Haya, ndio hii hapa ripoti ya World Bank pia ikiongea kuhusu umaskini Kenya kupunguzwa.

Kwa mujibu wa World Bank, asilimia 36.1% ya Wakenya huishi chini ya $1.90 a day. (2016)
Lakini kwa mujibu wa World Bank pia, asilimia 49% ya Watanzania huishi china ya $1.90 a day. (2018)

Ripoti unayoleta hapa inaongea kuhusu TZ national poverty line, ambayo ni $0.8 a day. Hii ni poverty line iliyosemekana na serikali ya TZ.

Ripoti ambazo zinaongea kuhusu international poverty line ($1.90) ni hizi.

http://documents.worldbank.org/curated/en/431111575939381087/pdf/Executive-Summary.pdf

Poverty Incidence in Kenya Declined Significantly, but Unlikely to be Eradicated by 2030

Ndio hii summary pia.

Tanzania

po.JPG

Kenya
po1.JPG
 
Hv vidata uchwara ndiyo huwa vinawapumbaza wkt uhalisia hauko hvyo,vitu kwa Ground ndo unakuta watu wanapika mawe, na vitu km hivyo, ila vitu km hvyo Tz hakuna mngeshawasikia kina Zitto, Lissu, Fatuma Karume, kina Mange, au hao nao hawana uhuru.
Watajuaje akina zitto wakati media zimeingizwa kibindoni..
Huyo mama wa mawe ungelimjuaje km sio media..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magu kawahi kusuruhisha mapema.. tungewapa wiki mbili hiv waonje shughuli yake

Usisahau pia Mexico huuza chakula chake USA.
Lakini USA haiuzi chakula Mexico.

Pia hapa Kenya, hatuna ubishi Tanzania ikiwa ni nchi ya wakulima.
Sisi tutamuuzia dawa na vitu zingine za viwanda.

Umuhimu ni value ya imports na exports. Tanzania iko na trade deficit na Kenya.
Value ya vitunguu, maharagwe na hoho haitawahi karibia value ya dawa, cosmetics na electricals.

Tanzania trade with Kenya turns into deficit
 
Kuchagua tu habari zinazo onyesha Tanania pazuri.

Haya, ndio hii hapa ripoti ya World Bank pia ikiongea kuhusu umaskini Kenya kupunguzwa.

Kwa mujibu wa World Bank, asilimia 36.1% ya Wakenya huishi chini ya $1.90 a day. (2016)
Lakini kwa mujibu wa World Bank pia, asilimia 49% ya Watanzania huishi china ya $1.90 a day. (2018)

Ripoti unayoleta hapa inaongea kuhusu TZ national poverty line, ambayo ni $0.8 a day. Hii ni poverty line iliyosemekana na serikali ya TZ.

Ripoti ambazo zinaongea kuhusu international poverty line ($1.90) ni hizi.

http://documents.worldbank.org/curated/en/431111575939381087/pdf/Executive-Summary.pdf

Poverty Incidence in Kenya Declined Significantly, but Unlikely to be Eradicated by 2030

Ndio hii summary pia.

Tanzania

View attachment 1455718

Kenya
View attachment 1455721
Andikwa vyote ila mwisho wa siku utarudi hapa hapa

Usisahau pia Mexico huuza chakula chake USA.
Lakini USA haiuzi chakula Mexico.

Pia hapa Kenya, hatuna ubishi Tanzania ikiwa ni nchi ya wakulima.
Sisi tutamuuzia dawa na vitu zingine za viwanda.

Umuhimu ni value ya imports na exports. Tanzania iko na trade deficit na Kenya.
Value ya vitunguu, maharagwe na hoho haitawahi karibia value ya dawa, cosmetics na electricals.

Tanzania trade with Kenya turns into deficit
Tz haiagizi dawa zake zote kenya...

Hizi ni kampuni hapa Tz ambazo nao hutengeneza dawa...sijaweka Buhongwa industries ilioko Mwanza na nk

FYI dawa nyingi Tz inanunua China na India...
20200521_160749.jpg
20200521_160734.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tz haiagizi dawa zake zote kenya...

Hizi ni kampuni hapa Tz ambazo nao hutengeneza dawa...sijaweka Buhongwa industries ilioko Mwanza na nk

FYI dawa nyingi Tz inanunua China na India...View attachment 1455754View attachment 1455755

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijasema dawa zote. Hakuna nchi huagiza bidhaa zao zote kutoka nchi moja.
Lakini Nairobi iko na zaidi ya makampuni 30 ya dawa, ambayo yanaexport Africa mashariki na kati.

Point ni kwamba value ya export ndio muhimu. Na sio lazima nchi iproduce kila kitu.

Mfano hata muuzie Marekani vitunguu malori elfu kumi, bado watampiku wakimuuzia dreamliner moja tu.
 
Nairobi hupata chini ya Ksh20 billion ya pesa ya kaunti, out of bilioni karibu 400.

Sio lazima maendeleo yote ya Kenya tuyalete Jamiiforums, na yanayoletwa ni machache. Personally mimi siweki catalog yoyote.

Lakini hii hapa miradi tatu ya hivi majuzi.

Dongo Kundu, Mombasa
View attachment 1455709

View attachment 1455708

Hospitali mpya Kakamega

Hospitali mpya kilifi
View attachment 1455704
Niambie ukweli..dont you think those numbers are infalted ...do you think that hospital cost is 60mil USD? What special equipments does it have ..maana majengo ya hospital dont cost much..maybe because its teaching hosp hapo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 in 2 people (49%) Tanzania wako in extreme poverty.
Vipi unajifanya hujaona hio?
Hutaki kukubaliana na ukweli kuwa Kenya ina masikini wengi ukanda huu!

The 2019 Tanzania Mainland Poverty Assessment notes that poverty decreased by eight percentage points in 10 years, down from 34.4% in 2007 to 26.4% in 2018.

Sijasema dawa zote. Hakuna nchi huagiza bidhaa zao zote kutoka nchi moja.
Lakini Nairobi iko na zaidi ya makampuni 30 ya dawa, ambayo yanaexport Africa mashariki na kati.

Point ni kwamba value ya export ndio muhimu. Na sio lazima nchi iproduce kila kitu.

Mfano hata muuzie Marekani vitunguu malori elfu kumi, bado watampiku wakimuuzia dreamliner moja tu.
Umeeleweka..!!
FYI Tanzania inauza mali zenye thaman zaidi KE kuliko mnazouza kwetu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom