The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Daahh mkuu co mchezo, kutoka 7 mpk 15 apo mkulu kaua sn
umeona construction board hio 😂😂😂😂😂😂😂😂Kelele tupu.
Plaque ya rais ndio board. Hii sio barabara ya kijiji.
Nikipata board zingine nitakupa nikitembea huko.
View attachment 1456017
Section zisizo za juu zishaanza.
View attachment 1456014
Aanza kusave nauli kuja kuona ulaya hapa Nairobi.
Ikikamilika itakaa hivi.
View attachment 1456016
Acha uongo bwana mdogo, Makampuni 30 yapi hayo mzee, I know pharma industry very wellSijasema dawa zote. Hakuna nchi huagiza bidhaa zao zote kutoka nchi moja.
Lakini Nairobi iko na zaidi ya makampuni 30 ya dawa, ambayo yanaexport Africa mashariki na kati.
Point ni kwamba value ya export ndio muhimu. Na sio lazima nchi iproduce kila kitu.
Mfano hata muuzie Marekani vitunguu malori elfu kumi, bado watampiku wakimuuzia dreamliner moja tu.
😂😂😂😂😂😂👇👇👇 umeona hioWakenya ni wajinga sana
Kelele tupu.
Plaque ya rais ndio board. Hii sio barabara ya kijiji.
Nikipata board zingine nitakupa nikitembea huko.
View attachment 1456017
Section zisizo za juu zishaanza.
View attachment 1456014
Aanza kusave nauli kuja kuona ulaya hapa Nairobi.
Ikikamilika itakaa hivi.
View attachment 1456016
fanyeni kumruhusu akojoe alale😂😂😂Acha uongo bwana mdogo, Makampuni 30 yapi hayo mzee, I know pharma industry very well
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikia ww jamaa, ucje gusa kwenye hilo eneo utaumia hakuna mahali kenya itaweza Tanzania kwenye suala la street roads yn usiguse kabisa, namaanisha nnachosema ucguse mzee, ulizia kitu kinaitwa DMDP yn usicheze kabisa kuna mikeka huku mtaani sema watu humu hawajaamua, ningependa battle inayokuja iwe paved roads za mitaani af tuone km mtaingiza pua, usiguse mzee
Hii unaizungumziaje
siku utapata construction board mm nafunga acc jamii forum mark my words😂😂😂😂Vipi Google earth ya Dar inakaa vumbi tu? Barabara nyembamba, zisizo pangwa, za vumbi
Ya Nairobi lami inaonekana kote.
Nilipotembea huko Dar lami nje ya CBD ilikuwa moja moja. Danganya toto jinga.
Dar
View attachment 1456021
Nairobi
View attachment 1456023
kwa vile tanzania hakuna bidhaa au ???😂Mbona unaleta taarifa ya 2018, na hapa nakupa taarifa ya 2020?
Tanzania trade with Kenya turns into deficit
2018 ni mojawapo ya miaka nne ambayo Tanzania ilitupita kidogo.
Sababu ilikuwa Magufuli kuingiza siasa kwenye biashara. Kufungia bidhaa zetu kimaksudi.
Hapo kaingia cha kikeniletee construction board ya ujenzi huo ukipata mm nafunga acc jamii forum mark my words hii sio nairaland usijisahau
mwenzako wanjala alikimbia hii topic umekuja kuivaa wewe![]()


sasa unafkiri mutaisumbua tanzania nyinyi 😂😂 tumefunga mpaka mmoja tu siku moja joto la jiwe mushaanza kuliona
kwa vile tanzania hakuna bidhaa au ???😂
kojoa ulale tu leo umechemka😂😂😂Lol. Cheka tu ukijifanya mwerevu.
Magufuli atafunzwa diplomasia kama mtoto. Simu moja akachekeshwa na Kenyatta akafungua. 😂 😂 😂
Uerevu uliyo Kenya ndio umefanya tukulie Kilimanjaro tangu uhuru ilhali Kilimanjaro iko Tanzania.
uehehhehe umeumia sana 😂😂😂Nyanya na vitunguu tu.
Tumemuachia mfanye ukulima tununue.
Sisi tutamuuzia za viwanda.
mwenzake wanjala alikimbia hio mada😂😂Hapo kaingia cha kike![]()
Acha uongo bwana mdogo, Makampuni 30 yapi hayo mzee, I know pharma industry very well
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kuwa pro active nakuomba..ila inabid uombe kitu utachotumia. Si kuna fees flaniwhat does it take in order to get landing permission over there?
Geza wacha mambo yako bhn huwezi kujua kila kitu, na ndiyo maana nipo humu kuna ninayoyajua ww huyajui nakujuza, pia kuna nisiyoyajua utapaswa kunijuza km utaona inafaa.Hatuna landing pass (Air Tanzania haikuwa inaenda Dubai) kwani unadhani unaruka tu? Mshikaji acha maswali ya ajabu!