Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_2020-05-20 Battle Dar es Salaam vs Nairobi - JamiiForums.png

Hii ni wapi?
 
zero brain! kituo chochote kuna soko, bodaboda, bajaj, taxi.. hivyo unakuza uchumi na kuhimiza mzunguko wa hela (watu kujipatia kipato sehem sahihi na kwa shughuli sahihi)
Kwn kampuni ijitengezea waiting lounge yake kuna shida gani, mambo ya zamani hayo..
Sio basi eti tunapangiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Because Kenya has modern infrastructures since 80s like electric sgr, cable bridges, beautiful and modern interchanges like three level interchanges, modern public transport like BRT, modern ships but km huna hvyo vitu mpk leo bac ujue ww ni ldc typically, and take it, there's land reclamation in Tz .
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Nionyeshe nchi gani sai ulimwenguni wanajenga stendi kw ajili ya mabasi karne hii

Sent using Jamii Forums mobile app
UK wanajenga kila kukicha*
Haya majamaa ni yanaakili za kitumwa sn, hv kweli kwa nchi zetu hz usiwe na stand kweli inaingia akilini hyo, kumbe ndo mana wakenya huwa wanakunya kwenye vichaka, hebu jenga picha mfano mdogo tu mtu unasafiri km 300 af hakuna stand na basi za kenya nadhani mnazijua.
 
fikra zao ziko nyuma miaka 100😂😂 we huoni hata mchina alipowajengea reli na treni za 100 yrs ago walishangilia
4FDD1AA9-78DB-4946-BBBE-E7BF2807C657.jpeg
 
Back
Top Bottom