kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,638
- 4,277
Umeeleweka..!!
FYI Tanzania inauza mali zenye thaman zaidi KE kuliko mnazouza kwetu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol.
Unaelewa maana ya 'trade deficit' ?
Umeeleweka..!!
FYI Tanzania inauza mali zenye thaman zaidi KE kuliko mnazouza kwetu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi zote mbili huwa zna experience some years of trade def..it depends mmetumia data za mwaka ganiLol.
Unaelewa maana ya 'trade deficit' ?
Hutaki kukubaliana na ukweli kuwa Kenya ina masikini wengi ukanda huu!
The 2019 Tanzania Mainland Poverty Assessment notes that poverty decreased by eight percentage points in 10 years, down from 34.4% in 2007 to 26.4% in 2018.
Niambie ukweli..dont you think those numbers are infalted ...do you think that hospital cost is 60mil USD? What special equipments does it have ..maana majengo ya hospital dont cost much..maybe because its teaching hosp hapo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema Dar tuna deni la kulipa kuhusu highways.... tukipata at least NNE hivi sio mbaya zitazofanana na Thika au hata ile Southern BypassUjenzi wa barabara hujawahi acha Nairobi.
Ni ile excitement ya kwanza ya Thika road ilipungua na zingine hazipewi publicity kama ya kwanza.
Outering rd
Ngong road
Parkroads
Redhill
Upperhill
Southern bypass
Northern bypass
Greater western bypass
JKIA - Westlands
Zote ziko Nairobi na zote zimejengwa baada ya Kibaki kuondoka. Google utafute picha zake.
Nchi zote mbili huwa zna experience some years of trade def..it depends mmetumia data za mwaka gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidini mpunguze idadi ya masikini maana mnaongoza ukanda huu,Hii chapter tumefunga.
Tukitumia international benchmark ya less than $1.90 a day:
Tanzania poverty - 49%
Kenya poverty - 36%
Unachoongea kuhusu ni TZ government poverty line ya less than $0.8 a day.
Tukishukisha poverty line yetu hadi hapo, Kenya pia umaskini utashuka chini ya 20%.
Kama unaweza elewa kingereza kasome pdf.
http://documents.worldbank.org/curated/en/431111575939381087/pdf/Executive-Summary.pdf
Poverty Incidence in Kenya Declined Significantly, but Unlikely to be Eradicated by 2030
Sema Dar tuna deni la kulipa kuhusu highways.... tukipata at least NNE hivi sio mbaya zitazofanana na Thika au hata ile Southern Bypass
Tumeanza na Kimara-Kibaha sio mbaya ila kwa highways tuna mwendo wa kobe
Yaan inatupasa hizi giants zinazoingia Dar ziwe za maana (at least 8 lanes na kuendelea despite of BRT) af na Kigamboni kule kupo kizembe sana ile barabara ya Ferry-Tuangoma na hii ya upande wa darajani huku zinatakiwa ziwe za maana....
Hio ni inflated let me tell you why$60 million kwa hospitali unaona ni inflated?
Mashine za scan zingine huuzwa mamilioni ya dola.
Hii ni referral hospital. Kumaanisha wagonjwa waliolemewa hospitali zingine wataletwa hapa.
Mashine zitawekwa hapa kwa wingi.
Naweza kwambia $60 million sio final figure. Vile miaka inaendelea mashine zitaongezwa na kupandisha hii namba.
Hii kitu rangi yake itakua hivyo hivyo hata baada ya miaka kadhaa.
Sent from my iPhone using JamiiForums



Hio ni inflated let me tell you why
Kwanza nlikubaliana na wewe cause i thought 6 bil ksh ina include University (teaching) na equipments
2. A good building for 750 beds tena kwa kakamega sio floor nyng wouldnt cost above 1 bil ksh
3. CT Scan and MRI cost around 1mil to 3mil USD for MRI ..lets asuume mnazo 4hapo myb cT 4 hapo kila dept nimeipa CT scan which sio kitu cha kawaida kwa hospital mri 2 ...total 1bil ksh
4..Dialyisis bla blah theatres machines EtC 2bil ksh
5..Extras ..Kama lecture rooms hostel, uni tools etc ..1bil ksh
Hapo kuna kama 1 bil ksh ? Sijui but i think kuna ka hela kamepigwa hata ksh 500k ... We mwenyewe umeona majengo ya livyo
Sent using Jamii Forums mobile app
.nasikia arufu ya mdomo hapa tatizo nini maji naii hakuna au uchafu wa slums people
Flyover za tz zinazingatia brt system kunya je?
Brt si ni barabara piaFlyover za tz zinazingatia brt system kunya je?
Send by APOLO 1


Ugua pole pole.nasikia arufu ya mdomo hapa tatizo nini maji naii hakuna au uchafu wa slums people
Send by APOLO 1
Na wewe lete hzo data wakionyesha wakenya wanakula mafi ya mbuzi km ilivyokuwa tanzaniaLete hapa data za hayo mashirika yakionesha kuwa Tz watu pia wanapika mawe, km ilivyo kenya.
Dmdp wamejenga barabarA za mitaa 200km mradi wa 5yrs since 2015 to date...Ni poa mnakimbiza ujenzi sasa.
Lakini pia barabara za mitaa na suburbs ni muhimu. Sio highway tu.
Nairobi kuna program ya kutoa matope na vumbi kwenye mitaa yote. Hii haimulikwi sana na media sababu sio barabara moja, mbali ni barabara mingi za kilomita chache chache.