The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hii unaizungumziajeUsisahau pia Mexico huuza chakula chake USA.
Lakini USA haiuzi chakula Mexico.
Pia hapa Kenya, hatuna ubishi Tanzania ikiwa ni nchi ya wakulima.
Sisi tutamuuzia dawa na vitu zingine za viwanda.
Umuhimu ni value ya imports na exports. Tanzania iko na trade deficit na Kenya.
Value ya vitunguu, maharagwe na hoho haitawahi karibia value ya dawa, cosmetics na electricals.
Tanzania trade with Kenya turns into deficit




