Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,980
HapanaWewe msabato?
HapanaWewe msabato?
[emoji38]Mwanaume zingatia haya:
1. Ukiona tako kubwa kagua:
A) miguu, ukiona ana fito tako ni kubwa kimbia
B) kagua huko hips kama kuna visu, makovu kimbia
C) ujiona tako liko tenge tayari
2. Elekezeni nguvu kwa flat screen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi mstaafu (NIMEOKOKA) hayanihusu
🔥😅Nina uhakika....Mkuu,
jiandae watu watapandia dau ibobo Ili Waka hakikishe ni ya kwel unayo yasema muda ni mwalimu mzuri.........
Tuwafundishe mabinti zetu kujiamini na kujikubali vile walivyo, la sivyo tutakuq na kizazi cha hovyo sanaWale wanawake walioenda kurekebisha makalio na maumbo kule hospital ya mloganzila jijini Dar es Salaam wameruhusiwa kurudi mtaani baada ya operation hiyo.
Kwa sasa nawaasa vijana wenzangu tuwe makini, watu wametoka garage hivi karibuni [emoji1787]
NB: Wanaume tunawindwa sana aisee [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]View attachment 2801358
[emoji4][emoji4]Nichangieni nisikosekane kwenye second jameni
Nyie wenyewe ndio mnachagua wajinga wajingaYeah
Hatuna mambo mengi
Sema tunakutanaga na wajinga wajinga
Hapana wanawake tunafuatwaNyie wenyewe ndio mnachagua wajinga wajinga
Hapana wanawake tunafuatwa
Mpk uingie kwenye relationship ndio umjue mtu
Huyo kwenye avatar ni wewe?Pole wewe, usilolijua ni sawa na usiku wa giza🚮
HapanaHuwa mnapendaga wajinga wajinga ila mkishachezewa na kuachwa ndio akili zinarudi
Mungu wanguuu🤔🤭➡️➡️➡️ Warning: Video siyo nzuri. Viewers discretion is strongly advised 🙏🏿
My dear sisters. Bakini tu na what yo mamas gave you maana haya ya Mloganzila yakikorofisha ni shida. Wanasema likianza kubonyea bonyea sana ukilibofya halafu linachukua muda mrefu kurudi hali yake ya kawaida basi kimbia tu ukalitoe.
Mloganzila hata sielewi wamefikiria nini kuanzisha hii huduma ya kishetani. Bila shaka wanachoangalia ni pesa tu na si kingine! 🚮🚮, 😭, 😭...
View attachment 2803358
Mbona yanatia kinyaa jamani cheeeeiii, putuuu nimeshindwa kuitizama mpaka mwisho na ni sekunde chache tuMy dear sisters. Bakini tu na what yo mamas gave you maana haya ya Mloganzila yakikorofisha ni shida. Wanasema likianza kubonyea bonyea sana ukilibofya halafu linachukua muda mrefu kurudi hali yake ya kawaida basi kimbia tu ukalitoe.
Mloganzila hata sielewi wamefikiria nini kuanzisha hii huduma ya kishetani. Bila shaka wanachoangalia ni pesa tu na si kingine!🚮 🚮🚮😭😭😭...
👇👇👇Warning: Graphic video. Viewers discretion is strongly advised👇👇👇
View attachment 2803358
Aah wapi wachaga wa kizazi hiki 80%wana shep kwakweli
Taco nilitoe wapi mi binti sayuni!
Ni sheedah walai Kazi kwao wanaopenda matraa!
Mliojaaliwa shukuruni tuNi sheedah walai Kazi kwao wanaopenda matraa!
Mie sina hayo madude hata kwanza hayana maana ni upuuzi tu!Mliojaaliwa shukuruni tu