Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 44,163
Sana tu hatuna mambo mengi😂😂😂 mama mchungaji si unajua sisi tuko og
Tumeridhika ,tumejikubali
Sana tu hatuna mambo mengi😂😂😂 mama mchungaji si unajua sisi tuko og
Weee hiyo og ,ndugu😅kama org.sina neno ila kama ni ya mlonganzilah.......weeee thubutu lazima ishuke ns ilslie upsnde mojs....
Haya nn Tena jmnShoga walinipa ban 🤣🤣🤣
kama org. ni sawa, sina swali ingine..Weee hiyo og ,ndugu😅
Mwenzangu na mie yaani mambo ni mengi halafu muda mchache viporo kama vyoteAsante sema niko busy ss hivi nakimbizana na hesabu za kufunga mwaka.
Sitokua mwingi kivile
Pitia selfika 🤣🤣🤣kama org. ni sawa, sina swali ingine..
swali ya kijinga ya nyongeza,
ila hiyo org. haina madodoa kama chui kweli?
Haswaaa!! Hatujitaji makorokoro sie team natural tunang’aa bila kujitesaSana tu hatuna mambo mengi
Tumeridhika ,tumejikubali
Acha tyuu pilika za mwanakondoo wako nyingi 😂😂😂Haya nn Tena jmn
Maana nikashangaa,naita mtu kimyaaa😅
Wewe chawa mbona umenikalia kooni?!!kama org. ni sawa, sina swali ingine..
swali ya kijinga ya nyongeza,
ila hiyo org. haina madodoa kama chui kweli?
Me niko hoi nataka nijitahidi nimalize dec niende zangu nikapumzishe ubongo 😂😂😂Mwenzangu na mie yaani mambo ni mengi halafu muda mchache viporo kama vyote
Hiyo ya kugalagaza moyo haikosekani my dear me nshafanya booking zote nasubiri tu tarehe....maisha mafupi hayaMe niko hoi nataka nijitahidi nimalize dec niende zangu nikapumzishe ubongo 😂😂😂
Nikateketeze maokoto mie ya nini kujibana hata mtoto sina 🤸♀️
Me natafakari nikajiachie wapi? 😂😂😂Hiyo ya kugalagaza moyo haikosekani my dear me nshafanya booking zote nasubiri tu tarehe....maisha mafupi haya
Sehemu zipo kibao ni wewe tuMe natafakari nikajiachie wapi? 😂😂😂
Tena sehemu ambayo wamatumbi wa kumulika na torch
Bongo sitaki 😂😂😂Sehemu zipo kibao ni wewe tu
Nakupa moja tu ya hapahapa bongo
Nenda Melia serengeti au Melia zanzibar
Enh bwana enhe si mchezo
Kama kibunda kinaruhusu nenda Santorini kule ukachil ht one night hutojutiaaaa
Basi tafuta chimbo dubai au Bali Indonesia kama ni zuri kindly nipasie na mie🤣🤣🤣Bongo sitaki 😂😂😂
Nitafute pesa mwaka mzima bongo afu nitumie bongo HAPANA 🤣
basi sawa sina swali ingine....Wewe chawa mbona umenikalia kooni?!!
🤣🤣🤣
Me nina mixer mpk ya uajemi huko vidoa navitoa wapi? Wewe ushazoea kumeet na sungura rope?!! 😂😂😂
Ngoja ntakushtua subiri niendelee kutafuta 🤣🤣🤣Basi tafuta chimbo dubai au Bali Indonesia kama ni zuri kindly nipasie na mie🤣🤣🤣
Ukipata teuzi kwa mama ya kueleweka nitakuja mwenyewe live kukupongeza ukiapishwa 😂😂😂basi sawa sina swali ingine....
swali ndogo ya nyongeza kama hutojali......
naweza ona ili kujiridhisha!!...
Kwa jinsi nilivyo na vimeo najiona nikienda January hiyo vacation....wengine wakiwa wanarudiNgoja ntakushtua subiri niendelee kutafuta 🤣🤣🤣
😂😂😂🤣 wewe subiri idd twende ZanzibarKwa jinsi nilivyo na vimeo najiona nikienda January hiyo vacation....wengine wakiwa wanarudi