Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Ukipata teuzi kwa mama ya kueleweka nitakuja mwenyewe live kukupongeza ukiapishwa 😂😂😂
Kazana upate teuzi unione
nimewiwa niombe pamoja na wewe ili walau tukutane kwenye ulimwengu wa roho na tujuane na kufahamiana vuzuri....

Nakushuku Ee Mungu Baba Mwenyezi, yule ambae nimemtafuta kwa muda mrefu sana, amefika na amekuja kwa wakati muafaka kabisa, nasema Asante sana...
Ee Mungu Mwenyezi ninakuomba umfunike kwa manyunyu ya Baraka na Neema zako anapojiandaa kupumzika usiku huu yeye na wote wanaosoma ujumbe huu maalumu...
Aimen....
 
😜 jamani?!

Ahsante kwa maombi mazuri napokea kwa jina la Yesu 🙏
Barikiwa sana mtumishi, hakika ukafanikiwe kwa yote uyaombayo na kwa mapenzi ya Mungu yakatimie. Upate haja ya moyo wako
 
Kwakweli nashukuru sana,
sikutegemea tukutanie huku JF kwa namna hii, hakika ni muujiza .
Nimefulai chana...
 
Back
Top Bottom