Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Kutongozwa hovyo inategemea na jinsi unavyojiweka, whether umevaa vimini au la. Wengine tumeshavuka hizo level za kutongozwa hovyo.
Mi nafikiri kutongozwa ni age,sio kila age unatongozwa...Kuna zile age za 16-24 Hawa wanatongozwa sana,,,ukiona hutongozwi sana hapo jua age go
 
Huwa tunawaona mnajiuza indirectly. Ndo maana mwanaume ni rahisi sana kuku approach bila uoga akiamini ni biashara huria.

Lakini mwanamke anayejisitiri vizuri mwili wake hata mwanaume anakuwa muoga kumu approach kuhofia kujibiwa vibaya.

Dhahabu hujificha chini sana ndo maana inatafutwa kwa shida sana.
Huo ni mtazamo wako sasa zero brain
 
Kutongozwa hovyo ni dalili za kukaa kirahisi rahisi.
Sema hivi, kutongozwa ni dalili ya kuwa na sura ya mama,,,maana Huo ugumu unaoutaka ni lazima uwe na sura ya baba ndio utawezekena...unakuta kibinti kimekaza eti kinatishia lakini bado kirembo.....
 
Sema hivi, kutongozwa ni dalili ya kuwa na sura ya mama,,,maana Huo ugumu unaoutaka ni lazima uwe na sura ya baba ndio utawezekena...unakuta kibinti kimekaza eti kinatishia lakini bado kirembo.....
Nyie ndio kila mwanamke mrembo anayekatisha mnamtongoza , nidhamu zero kwa wanawake.
 
Back
Top Bottom