Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Wale wanawake walioenda kurekebisha makalio na maumbo kule hospital ya mloganzila jijini Dar es Salaam wameruhusiwa kurudi mtaani baada ya operation hiyo.

Kwa sasa nawaasa vijana wenzangu tuwe makini, watu wametoka garage hivi karibuni [emoji1787]

NB: Wanaume tunawindwa sana aisee [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]View attachment 2801358
Picha zao tafadhali
 
Mwanaume zingatia haya:
1. Ukiona tako kubwa kagua:
A) miguu, ukiona ana fito tako ni kubwa kimbia

B) kagua huko hips kama kuna visu, makovu kimbia

C) ujiona tako liko tenge tayari

2. Elekezeni nguvu kwa flat screen😂😂😂😂😂

Mimi mstaafu (NIMEOKOKA) hayanihusu
U r right its hard to be proportional kwa mwili fake kuna weak points zitakuumbua tu mungu atabaki kuwa mungu tu
 
Una rekebisha matako kwa million 18 uje uhongwe 30k hizi hesabu hizi[emoji1544]
mbona kuna faida mara mbili, wale modified figure bei zao ni za juu sana kwa buku humpati, andaa laki. Akipata watano kwa laki moja kwa siku ana laki tano, siku mbili ana milioni moja. Tena hiyo milioni moja anaweza kuipata kwa mteja mmoja tu kwa siku moja. Miili modified ni kwa ajili ya kuuza ni urembo. Fikiria mwanamke ni mnene tipyatipwa, huyu akitaka kuwa na shepu nzuri ya kutengenezwa itabidi nyama nyingi zipunguzwe na atalazimika kubadili ulaji ili asiongezeke unene. Fikiria na yule mwembamba flat screen kila idara, nyama zitatoka wapi kujaza matako, hips na matiti?
 
Ila wanawake tuna dhambi sana. Ina maana Mungu alikosea kukuumba hivyo?

Mungu atusamehe
Mungu fundi wew.. dynamics za mwili lazima zibadilike na changes lazima ziwepo.. mungu ana formula zake ukibadili tu imekula kwako. Watu woote wanaofanya hzo plastic surgery wanakula dawa maisha yao yote.. kuanzia kina michael jackson had kina mobeto.. lazima ule dawa ili ku mantain inbalances.
Kwahyo hyo ndo price wana pay..
 
Laki mbili labda wakuokote mpori pori, hizi shpapi za samaki samak, cutting master na wavuvi ndo utoe laki mbili per night?[emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe wa wapi aisee?
Dem wa 30 nenda tabata,na hao hawana mamilioni ya kutengeneza shape
 
Ila nyie wadada wa JF waongooo,humu kila mtu anajifanya haendi mloganzila[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah nimechekaa sana
Mamaa bora kubaki hivi hivi kama kaukau mloganzila haendi mtu nije kuwa kama mkate wakumimina aah weee hapana aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom