Hakuna nisilolijua kuhusu usiku wa giza,come again, digest the truth ndo ukwel wenyewe huo,huyo wa dp sio ww and why umechagua hiyo pic na sio za kina mwajuma ndala ndefu?!!Pole wewe, usilolijua ni sawa na usiku wa giza🚮
Vibamia hawarekebishi>🤣🤣🤣
Mpk miguu inarekebishwa km hujui
Ili kupata uwiano
Jmn acha sie tuliokubaliana na tulivyoumbwa tukae pembeni,yetu macho
SijuiVibamia hawarekebishi>
😂😂😂 mama mchungaji si unajua sisi tuko og
Shogaangu ulikuwa wapii nilikumisiiiWe bff nina kishape kimoja matratraa hakipatikani Mloganzila 🤣🤣🤣🤣
Wewe chawa wa mama tuheshimiane me nina shape isiyoyumba kitu kimesimama kuanzia masika vuli mpk kiangazi 🤣🤣🤣🤣kwa jotro la dar lazima utembee kama uchechemee vile na kutembeea upande upandee....
Shoga walinipa ban 🤣🤣🤣Shogaangu ulikuwa wapii nilikumisiii
kama org.sina neno ila kama ni ya mlonganzilah.......weeee thubutu lazima ishuke ns ilslie upsnde mojs....Wewe chawa wa mama tuheshimiane me nina shape isiyoyumba kitu kimesimama kuanzia masika vuli mpk kiangazi 🤣🤣🤣🤣
Wewe unakutana na mitumba 🤸♀️🤸♀️
Ban ya nn tena mbona unaonewa sana 😆😆😆Shoga walinipa ban 🤣🤣🤣
Acha tu nakwambia bff unakuta ni hawa member wangese wangese 🤣🤣🤣Ban ya nn tena mbona unaonewa sana 😆😆😆
Pole shogaangu...karibu tenaAcha tu nakwambia bff unakuta ni hawa member wangese wangese 🤣🤣🤣
Asante sema niko busy ss hivi nakimbizana na hesabu za kufunga mwaka.Pole shogaangu...karibu tena