Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,981
😂 usiogope sasa.Hapana. Sijakuzoea kivile mdogo wangu. Ningekuwa nimekuzoea ningechomekea tu kama utani. Ila ni jambo jema sana la kuonea fahari usiwe na wasiwasi.
Haya nipo hapa nakusikiliza.
😂 usiogope sasa.Hapana. Sijakuzoea kivile mdogo wangu. Ningekuwa nimekuzoea ningechomekea tu kama utani. Ila ni jambo jema sana la kuonea fahari usiwe na wasiwasi.
IG kuna mmoja anajiita Miss Miami TV. Huyu alikuwa nalo kubwa linakaribia kugusa sakafu akiwa analiburuta. Aliweka akiwa kijana kijana huko na lilimsaidia kupiga piga vihela kwenye night clubs huko rapper uchwara sijui na exotic dancer/influencer. Nadhani hapa katikati lilianza kuuma akawa anashindwa kukaa. Mara sijui kuna infection mpaka kwenye mifupa. Sema tu huko ni mambele wana utaalamu lakini hali ilikuwa tete kidogo apoteze maisha. Sasa hivi amelitoa na amerudi kuwa flat screen ila anasema yuko huru na kwa mara ya kwanza anajihisi ana afya njema.Dah ni hatari Mzee, hivi hawanuki kweli? Maana nahisi yatakuwa yanavuja unyevu flani hivi wa mafuta na maji
Waliosema wanawake hawajui hata wanachokitafuta hawakukosea,haijulikani wanatafuta ndoa,wanatafuta wanaume wengi wa kutembea nao,hata kama wameolewa/hawajaolewa,au wanatafuta tu attention ya watu......?Ila wanawake tuna dhambi sana. Ina maana Mungu alikosea kukuumba hivyo?
Mungu atusamehe
Wanawake tupo kama kenge kusikia kwetu ni mpaka tutokwe damu, wenye kusoma wasome hilo ni balaa la kujitakia, ujana maji moto hayana muda hupoa, fainali uzeeniIG kuna mmoja anajiita Miss Miami TV. Huyu alikuwa nalo kubwa linakaribia kugusa sakafu akiwa analiburuta. Aliweka akiwa kijana kijana huko na lilimsaidia kupiga piga vihela kwenye night clubs huko rapper uchwara sijui na exotic dancer/influencer. Nadhani hapa katikati lilianza kuuma akawa anashindwa kukaa. Mara sijui kuna infection mpaka kwenye mifupa. Sema tu huko ni mambele wana utaalamu lakini hali ilikuwa tete kidogo apoteze maisha. Sasa hivi amelitoa na amerudi kuwa flat screen ila anasema yuko huru na kwa mara ya kwanza anajihisi ana afya njema.
Wakati mwingine inatokea tu hata hawa wanaofanya implant za matiti, immune system inaamka from nowhere na kuanza kushambulia hayo masilicone sijui ikidhani ni foreign body na inaulinda mwili. Hili likitokea inabidi kuyatoa haraka sana na kupambana kweli vinginevyo mtu anakufa. Hata huyu Miss Miami TV nadhani ndicho kilichotokea. Baada ya miaka zaidi ya 10 immune system iliamka tu ikaanza kushambulia...labda alipata infection sijui. Na kuna case nyingi tu za aina hiyo!
Mnaoa slim ili muwatese mnaenda kula raha na kina nyamitako, aah wanaume nyiee
😀😀Ukivaa nguo haianguki😂😂Thanks to God hakuniachaa mkuuu...la kusapotiaa nguoo lipooo aiseee😄😄😄😄
Mhmh [emoji38] [emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sbb sio litako km Yale ya size ya ngosha Shimba ya Buyenze
🙏Hahahahah no hiyo ni assumption, ila tukioa slim ndoa inadumu sana na mtalea watoto wenu kwa ustadi na unyenyekevu
Alafu et jitu linajiua kwa sababu amekataliwa na mwanamke na wakati mwanaume ni almasi mpaka wanalekebisha mashepu sababu ya kuwateka wanaumeS
SHida yote hii mwanaume anaswe😂
huyu daktari ni mwanasiasa tu, tuwe makini sana na matamko yake, kuna siku watu watalia.Wale wanawake walioenda kurekebisha makalio na maumbo kule hospital ya mloganzila jijini Dar es Salaam wameruhusiwa kurudi mtaani baada ya operation hiyo.
Kwa sasa nawaasa vijana wenzangu tuwe makini, watu wametoka garage hivi karibuni [emoji1787]
NB: Wanaume tunawindwa sana aisee [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]View attachment 2801358
🤣🤣🤣🤣 Kwa hiyo unatoka huumu darasani au?Hizi vurugu zenu mi zishanishinda
Mbona umeguna🤣Mhmh [emoji38] [emoji38]
🤝🤣🤣🤣Yale mamikunjo kama ngozi ya mamba yana kata sitimu, flat screen ni mpango mzima.
Hao hawahongwi elfu 30 we mshamba,usiku mmoja chini ni laki mbili
Hivi kunakuwa hakuna makovu makovu mabaya kwenye mwili? Na mwanaume akimshika shika dada wa aina hiyo hawezi kugundua?Ila wanawake tuna dhambi sana. Ina maana Mungu alikosea kukuumba hivyo?
Mungu atusamehe
Thread closed