Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Mie sina hayo madude hata kwanza hayana maana ni upuuzi tu!
Huna madude but una taco zuri tu
πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Huna madude but una taco zuri tu
πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Nitoe Wapi mkuu utakua umemchanganya madesa !!
Mie flat asee!
 
Vitu natural haviishi kifaler kama unavodhani!!

Ilimradi nyama laini za kuamsha amsha ziwepo tu hayo mengine makubwa mbwembwe tu!
Nashukuru umeniunga mkono
(Kwa akili saanaa)

#amani ni tunda la roho, itawale#
 
Mwanaume zingatia haya:
1. Ukiona tako kubwa kagua:
A) miguu, ukiona ana fito tako ni kubwa kimbia

B) kagua huko hips kama kuna visu, makovu kimbia

C) ujiona tako liko tenge tayari

2. Elekezeni nguvu kwa flat screenπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mimi mstaafu (NIMEOKOKA) hayanihusu
Umeokoka hakafu unatupa ramani ya kuzimu....🀣🀣🀣
 
Una rekebisha matako kwa million 18 uje uhongwe 30k hizi hesabu hizi[emoji1544]
huyo ni abiria moja, we kweli hujui biashara. Basi moja linanunuliwa kwa sh. ngapi, na nauli ya abiria moja sh. ngapi. Tumia akili kijana usiwe km Mpina.
 
Umeokoka hakafu unatupa ramani ya kuzimu....🀣🀣🀣
Dunia yote haiwezi kuokoka.
Ndio maana tunashauriwa kuwa waaminifu kwa kuwa na mpenzi mmoja, na ikishindika...condom itumike.
Maisha lazima yaendelee..
As long as watu wansishi...dhambi itaendelea kuwepo.

Kuleni kwa tahadhari wananguπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pambana na flat zako unazopenda tu mkuu hakuna namna!
Hahaha...asikudanganye mtu...
Piga ua huwa sitoi codes zangu hadharani.

Naongeleaga vitu very genersl.

Mapenzi/upendo hauna formula kabisa.

Unaweza kupenda flat sanaa au mwenye nalo sanaa, itategemea umeguswa na nini.

Mwisho...kuangalia umbo huo sio upendo ni tamaa totoo
 
Sawasawa sema Usiamini kila anachomenti mtu humu!! Huu ni mtandao tu usichukulie vitu siriaz!
Yeah hayanaga fomula
 
Sawasawa sema Usiamini kila anachomenti mtu humu!! Huu ni mtandao tu usichukulie vitu siriaz!
Yeah hayanaga fomula
Hakika totoo, lla unaongea kwa base asee...yaani nakusoma kwa sauti ya 4
 
Back
Top Bottom