Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Umeona mambo hayo Mama Mchungaji. Sasa tako gani hilo jamani limekaa kama robota la mirungi? [emoji15]
754fcf9c030ffce73f103533dd82cf70.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naijua vyema africa mashariki na kati.
Ila dar kuna wanawake wazur aisee.
Hata ukibandika tako bado utazdiwa tu.
 
aah, Jotroo ya dar ni kitu ingine aise ...

we kiatu ukiweka ndani na hujaivaa wiki mbili au tatu, siku ukivaa utatoka home vuzuri tu, ila ile una taka kupanda daladala tu unaskia huku mguuni kama mguu unapiga makofi au unaburuza bati, kumbe ni soli na kiatu imeshaganduana na mguu🐒

sembuse puto ya hips na kalio si itaa muda mfupi itasinyaa yenyewe tu
🤣🤣🤣🤣Ngoja kwanza tuwaone waliotoka batch ya kwanza
 
Back
Top Bottom