Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,720
- 54,613
Umeliwasha umeenda saloon,unaliwasha unaenda kazini,unaliwasha unaenda kanisani sijui msikitini unatongozwaje Sasa?Kwani nakua kwenye ndinga mda wote.
Umeliwasha umeenda saloon,unaliwasha unaenda kazini,unaliwasha unaenda kanisani sijui msikitini unatongozwaje Sasa?Kwani nakua kwenye ndinga mda wote.
Ndio maana mnalalamika mnaliwa hela zenu sababu za kutongoza hovyo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mie tena?basi siwatongozi tena wanawake warembo
Jamani kina Missy Gf na Tayana-wog acheni kunilia Hela zangu sababu nawatongoza hovyoNdio maana mnalalamika mnaliwa hela zenu sababu za kutongoza hovyo.
🤣🤣🤣Jamani kina Missy Gf na Tayana-wog acheni kunilia Hela zangu sababu nawatongoza hovyo
Sa ndani gari unatongozwaje,nani anakuona?Yaani unavaa zako kimini, ngozi laini, unasukuma ndinga si ya kitoto , huwezi kutongozwa hovyo.
😂🤔🙄heeeee kututongoza tenaJamani kina Missy Gf na Tayana-wog acheni kunilia Hela zangu sababu nawatongoza hovyo
Dada nashengena anasema niache kutongoza hovyo hovyo eti🤣😂🤔🙄heeeee kututongoza tena
Mabwaku🏃🏃🏃
😂😂atakua amechanganya madesaDada nashengena anasema niache kutongoza hovyo hovyo eti🤣
Yaah,kashangaa mdada gani huyu🤣🤣😂😂atakua amechanganya madesa
🤣🤣🤣🤣 Kuna nn tena mbona mitongozo jamaniJamani kina Missy Gf na Tayana-wog acheni kunilia Hela zangu sababu nawatongoza hovyo
HapanaUongo huo. Hamna mwanaume asiyependa shape asee 😆. Sema wengine hawatosema ila moyoni wanajua ukweli
Hahahh kazi kweliUnajua kuwa huyu unaem-quote ni mdada?
🤣🤣🤣😂😂atakua amechanganya madesa
Off course hawana mambo mengi kwa sababu hawasumbuliwi sana.Sio Mbaya,😁
Ila bdo wanaongoza kuwa na relationship zilizotulia hawana mambo mengi
YeahOff course hawana mambo mengi kwa sababu hawasumbuliwi sana.
Ni wife material
Mkuu,Ila kweli jmn mikoani Kuna wadada Wana shep og...
Halafu hawako ht mitandaoni , hawana ac ,fb,insta wala popote 🙌
Nina wadogo zangu fulani hivi 🙌🙌
Ni tatizo
Never seen aisee
Wako natural aiseee
Pole wewe, usilolijua ni sawa na usiku wa giza🚮We mwnyw umeona utumie picha ya mdada mrembo kwny dp yako,hivyo ndivyo insecurity inavyowatesa wanawake na ww mnyakyusa ukiwemo,usijaribu kujitoa
🤣 Asante.We ni zaidi ya msabato,hongera sana.