Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,720
- 54,601
Kwa kweli Mimi ni all whether,,,Niko na low cut ila niige at ur own risky ukitokea mtoko wa ghafla ninakuwa mwingineIla wasabato wengine mmh🙌
Bampa to bampa🤣
Kwa kweli Mimi ni all whether,,,Niko na low cut ila niige at ur own risky ukitokea mtoko wa ghafla ninakuwa mwingineIla wasabato wengine mmh🙌
Bampa to bampa🤣
Mi naangalia wenye minguvu yenu mkiburutana!🤣🤣🤣🤣 Kwa hiyo unatoka huumu darasani au?
Wanakuwa na mahesabu makali sana anataka kumrudisha mtaji wakeKu-date na binti mwenye tako la mlonganzila ujipange kisawasawa Mana mwenzio anazingatia uwekezaji aloufanya[emoji28]
Kuna
Kuna mmoja ni almaarufu ameongeza kalio Uturuki, nilimuona jana anatega pale Ramada Hotel Mbezi beach jana. Nikasema Mungu awahurumie maana ni mateso yale.
Kunywa hata glucose twende sawaMi naangalia wenye minguvu yenu mkiburutana!
Kama wana sura nzuri, wanaanzia laki na nusu, wengine wanaweza kupigwa laki tano n.k; kwa ujumla pesa waliowekeza pale nyuma wanaume ndio watairudisha na faida juu.
Kwa hiyo wadada wa Arusha kina Depal ndio yatakaa fresh?halafu la Lamomy na shogae Missy Gf yatapishana eti?kwa joto la bongo baada ya mwezi moja tu, wengi wao watagundulika maana kalio moja Lazima litashuka chini, jengine litapanda unoni, hips Lazima zitapishana utadhani wamepigwa ngumi ile ya upcut chembe la kidevu Lazima taya zipishane......
mbona kuna faida mara mbili, wale modified figure bei zao ni za juu sana kwa buku humpati, andaa laki. Akipata watano kwa laki moja kwa siku ana laki tano, siku mbili ana milioni moja. Tena hiyo milioni moja anaweza kuipata kwa mteja mmoja tu kwa siku moja. Miili modified ni kwa ajili ya kuuza ni urembo. Fikiria mwanamke ni mnene tipyatipwa, huyu akitaka kuwa na shepu nzuri ya kutengenezwa itabidi nyama nyingi zipunguzwe na atalazimika kubadili ulaji ili asiongezeke unene. Fikiria na yule mwembamba flat screen kila idara, nyama zitatoka wapi kujaza matako, hips na matiti?
Ha ha ha....ndo ile umeomba namba, hata ujaisevu tayar ushapigwa kizinga kikali[emoji28]Wanakuwa na mahesabu makali sana anataka kumrudisha mtaji wake
Maana yake hawataolewa hadi gharama za uwekezaji zirudi na faida!
Watatumika sana!
Imagine Hawa ndio wamefanyia surgery nchi zilizoendelea,!Sasa ya mloganzila si ni hatari?Na sample zao hizi hapa. Unakuta binti tako kubwa anaburuta lakini tupaja twembambaaaa! Maana wanachukua tu mafuta ya tumboni na kwingineko (pamoja na silicone) na kuyashindilia matakoni. Halafu tako la Mloganzila hata mtimbwiliko na mmeng'enyuko wake unatia shaka...jionee!🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Na huko mbele ya safari wakianza kuzeeka yanawaletea matatizo wengi wao inabidi wafanye operesheni tena kuyatoa. Ni ujinga mtupu! 🚮🚮🚮
View attachment 2801404
View attachment 2801479
Hongera !Kwa kweli Mimi ni all whether,,,Niko na low cut ila niige at ur own risky ukitokea mtoko wa ghafla ninakuwa mwingine
Hesabu za pwagu na pwaguzi[emoji28]
🤣🤣🤣🤣Hatari,watawanyoosha wapendwa nyash,,,Bora kaka yangu sio mambo zako!Ha ha ha....ndo ile umeomba namba, hata ujaisevu tayar ushapigwa kizinga kikali[emoji28]
Nimecheka🤣🤣Imagine Hawa ndio wamefanyia surgery zilizoendelea,!Sasa ya mloganzila si ni hatari?
Hapana si kwa ubaya.Ila wanawake tuna dhambi sana. Ina maana Mungu alikosea kukuumba hivyo?
Mungu atusamehe
Usicheke!utaona mengi sana mwaka kesho😁😁😁😁Nimecheka🤣🤣
Ss wanaenda kuwa wengiMkuu hizo bei kwa sasa ni changamoto soko lao ni gumu kigumu kutokana na bidhaa kuongezeka japo wapo wachache sana walio shikilia hizo brand zao