Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Kwa speed hii muda si mrefu yatapoteza soko, na wanaume wapo km macho hayaridhiki yanataka kuona kila kitu, hawaridhiki
Ya Mloganzila haya ni mazuri yakiwa kwenye nguo tu. Laivu ni magumu hata ukilishika unahisi kabisa mabunye mabunye kwa ndani. Na kama daktari siyo mbobevu baadhi yao wanabaki na mistari permanent visible kabisa mahali ambapo walikatwa. Usione wengi hupenda kuchora tattoo matakoni. Ni kujaribu kuficha hayo makovu....🚮🚮🚮
 
Aisee lkn ajabu kuna wenye mataqo nawajua mbona hawana kitu jamani au ndio uongeze mataqo + nyota [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au basi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha huwa hawaolewi wengi wao maana wanaume tuna assumptions ya kuwa atatakwa na kila mtu so tunaoa wazuri kichwani na maeneo mengine sio makalio. Ni mwendo kubeba slim na kuoa... Slim na nyie soko lenu la uhakika lipo, mjitutumue tu
 
Ya Mloganzila haya ni mazuri yakiwa kwenye nguo tu. Laivu ni magumu hata ukilishika unahisi kabisa mabunye mabunye kwa ndani. Na kama daktari siyo mbobevu baadhi yao wanabaki na mistari permanent visible kabisa mahali ambapo walikatwa. Usione wengi hupenda kuchora tattoo matakoni. Ni kujaribu kuficha hayo makovu....🚮🚮🚮
Dah ni hatari Mzee, hivi hawanuki kweli? Maana nahisi yatakuwa yanavuja unyevu flani hivi wa mafuta na maji
 
Hahahahaha huwa hawaolewi wengi wao maana wanaume tuna assumptions ya kuwa atatakwa na kila mtu so tunaoa wazuri kichwani na maeneo mengine sio makalio. Ni mwendo kubeba slim na kuoa... Slim na nyie soko lenu la uhakika lipo, mjitutumue tu
Mnaoa slim ili muwatese mnaenda kula raha na kina nyamitako, aah wanaume nyiee
 
Ya Mloganzila haya ni mazuri yakiwa kwenye nguo tu. Laivu ni magumu hata ukilishika unahisi kabisa mabunye mabunye kwa ndani. Na kama daktari siyo mbobevu baadhi yao wanabaki na mistari permanent visible kabisa mahali ambapo walikatwa. Usione wengi hupenda kuchora tattoo matakoni. Ni kujaribu kuficha hayo makovu....🚮🚮🚮
Ss we Umejuaje?
Si ndo wanetoka au?🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom