Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,881
- 44,233
Wapo kina ERoni 🤣🤣🏃🏃Ila nashangaa wanao sema kwamba hao walio fanyiwa upasuaji dau lao litaongezeka
Ni nani anapenda kushika midude feki ukishajua vibe lote linatoweka
Wapo kina ERoni 🤣🤣🏃🏃Ila nashangaa wanao sema kwamba hao walio fanyiwa upasuaji dau lao litaongezeka
Ni nani anapenda kushika midude feki ukishajua vibe lote linatoweka
Kapiga mpaka ya matiti🤣🤣🤣 Nicole anatia kinyaa aisee
Hadi umeamua useme!🤣🤣🤣maana we husemagi!Ila nashangaa wanao sema kwamba hao walio fanyiwa upasuaji dau lao litaongezeka
Ni nani anapenda kushika midude feki ukishajua vibe lote linatoweka
Nikijua tu linatoka Mloga kila kitu kitanywea..teeh!Pole sshv hawaiti chura wanaita mloganzila 🤣
Kwani kazi yake nn hiyo chura kunako 6 Kwa 6?Tunaopenda chura na nyonyo kubwa tumepatikana🤣
Ha ha ha eti batch nimecheka kitahiraWale wanawake walioenda kurekebisha makalio na maumbo kule hospital ya mloganzila jijini Dar es Salaam wameruhusiwa kurudi mtaani baada ya operation hiyo.
Kwa sasa nawaasa vijana wenzangu tuwe makini, watu wametoka garage hivi karibuni [emoji1787]
NB: Wanaume tunawindwa sana aisee [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]View attachment 2801358
Huyu Huwa anapita tuHadi umeamua useme!🤣🤣🤣maana we husemagi!
Utaonea chumbani,mishono kama yote,,imagine Dr wa kumshona alikuwa Dr MwaisapileNikijua tu linatoka Mloga kila kitu kitanywea..teeh!
Na bado hajasema🤣Huyu Huwa anapita tu
Mpk amesema,sio mchezo
Huwezi kuelewa🤣🤣Kwani kazi yake nn hiyo chura kunako 6 Kwa 6?
aah, Jotroo ya dar ni kitu ingine aise ...Walahi joto la Dar sio poa!hiyo kitu unasema yaweza tokea kabisa🤣
Acha ubahili weweeeNa ukiliongeza hutapendeza tena
🤣🤣🤣🤣Ili mradi Kwa juu lina ngozi ya binadamu🤣🤣asante kwa kunielewa, tutachezea silicon hivyo hivyo.
Jmn kwannHuwezi kuelewa🤣🤣