Aah ndo huyu nilisikia anasema hashauri mabinti wasifanye hivyo!IG kuna mmoja anajiita Miss Miami TV. Huyu alikuwa nalo kubwa linakaribia kugusa sakafu akiwa analiburuta. Aliweka akiwa kijana kijana huko na lilimsaidia kupiga piga vihela kwenye night clubs huko rapper uchwara sijui na exotic dancer/influencer. Nadhani hapa katikati lilianza kuuma akawa anashindwa kukaa. Mara sijui kuna infection mpaka kwenye mifupa. Sema tu huko ni mambele wana utaalamu lakini hali ilikuwa tete kidogo apoteze maisha. Sasa hivi amelitoa na amerudi kuwa flat screen ila anasema yuko huru na kwa mara ya kwanza anajihisi ana afya njema.
Wakati mwingine inatokea tu hata hawa wanaofanya implant za matiti, immune system inaamka from nowhere na kuanza kushambulia hayo masilicone sijui ikidhani ni foreign body na inaulinda mwili. Hili likitokea inabidi kuyatoa haraka sana na kupambana kweli vinginevyo mtu anakufa. Hata huyu Miss Miami TV nadhani ndicho kilichotokea. Baada ya miaka zaidi ya 10 immune system iliamka tu ikaanza kushambulia...labda alipata infection sijui. Na kuna case nyingi tu za aina hiyo!
Ngoja tuwaone akina Nicole Jebry miaka 10 huko mbele ya safari sijui watakuwa na hali gani 🚮
Hii taarifa mmechelewa kuleta jana nikutana na chuma icho kinaitwa Irine ile shape sijawai ona, leo naona hii taarifa ndiyo naconnect dots. Mloganzila mtatuaribia mipango yetu ya kujenga gorofa na ndoa zitakuwa kwenye hali tete mno.Wale wanawake walioenda kurekebisha makalio na maumbo kule hospital ya mloganzila jijini Dar es Salaam wameruhusiwa kurudi mtaani baada ya operation hiyo.
Kwa sasa nawaasa vijana wenzangu tuwe makini, watu wametoka garage hivi karibuni [emoji1787]
NB: Wanaume tunawindwa sana aisee [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]View attachment 2801358
Kwa kweli God is good hapa amenitetea kiumbe wake..uongo mbaya nguo inakaaaa😂😂😂😂imagine ningekuwaa mgeni wa nani kwa hii dunia ya makaliooo😂😂😀😀Ukivaa nguo haianguki😂😂
Kama uko mjini "daslama" utashudia siku moja makalio yanaanguka mbele ya macho yako, subiria tuu🤔🤣🤣😳😳🙌Jmn Leo mbavu zangu uwiiii
We mwnyw umeona utumie picha ya mdada mrembo kwny dp yako,hivyo ndivyo insecurity inavyowatesa wanawake na ww mnyakyusa ukiwemo,usijaribu kujitoaIla wanawake tuna dhambi sana. Ina maana Mungu alikosea kukuumba hivyo?
Mungu atusamehe
😀😀😀Jambo la kushukuru MunguKwa kweli God is good hapa amenitetea kiumbe wake..uongo mbaya nguo inakaaaa😂😂😂😂imagine ningekuwaa mgeni wa nani kwa hii dunia ya makaliooo😂😂
Kwakweli tutajionea mengi 🤣Kama uko mjini "daslama" utashudia siku moja makalio yanaanguka mbele ya macho yako, subiria tuu
Eti Dunia ya makalio🤣Kwa kweli God is good hapa amenitetea kiumbe wake..uongo mbaya nguo inakaaaa😂😂😂😂imagine ningekuwaa mgeni wa nani kwa hii dunia ya makaliooo😂😂
Mzee raza au Mzee laza🤣Tunawasubiri kwa hamu hao ili tuonje ladha yao!!!
uwe makini usije ukaishia mapajaniTunawasubiri kwa hamu hao ili tuonje ladha yao!!!
Kwa kweli 😄😄Eti Dunia ya makalio🤣
Ingekuwa kawaida tu sbb sio wote wanapenda makalio
We ni zaidi ya msabato,hongera sana.Kabisa, Mimi sijawahi kubandika kope wala kuchora wanja. Hata hiyo make up sijawahi kufanya.
Hata hivyo hii makalio imezidi aisee
Kuna mdogo wako anakutafuta!Ila nyie wadada wa JF waongooo,humu kila mtu anajifanya haendi mloganzila🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah nimechekaa sana
🤣🤣Hapana shougaaaIla nyie wadada wa JF waongooo,humu kila mtu anajifanya haendi mloganzila🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah nimechekaa sana
Kuna mmoja ni almaarufu ameongeza kalio Uturuki, nilimuona jana anatega pale Ramada Hotel Mbezi beach jana. Nikasema Mungu awahurumie maana ni mateso yale.Wanao weza kupata showtime 10+ per day ni hawa vunja bei mfano kimboka, river side, rambo na wengineo.
Hiyo bei unayo isema ni ni kazi ngumu sana kuapata hata vichwa vitatu per day kwa sababu nyingi
Hao una sema wanahudumu kwa foreigners ndio hao wanao jitgesha kwenye hotels na huko exotics?