Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

30k ni vocha

Showtime ni 50k

Per day 10 show times x 50k = 500kper day

30 days x 500k = 15,000,000

Remember : 50k ni show time kwa local customers.

Kuna Premium Customers ambao analipa siku nzima 1m and above mnazurura nae hotel tofaut au siku zote arazokua hotel.

Kwa 18m unahisi ni hela inayorudi kwa Muda gani?

Wanawake sanukeni nendeni Mloganzila...

So SAD
Shida yote ya nini?
Hufi au unaishi milele duniani?
 
WANAUME POPOTE MLIPO SASA HIVI IFAHAMIKE KWAMBA NI MWENDO WA VIMBAOMBAO TUU NA SIYO HAYA MADUDE
Screenshot_20231102-150919.jpg
 
Wale wanawake walioenda kurekebisha makalio na maumbo kule hospital ya mloganzila jijini Dar es Salaam wameruhusiwa kurudi mtaani baada ya operation hiyo.

Kwa sasa nawaasa vijana wenzangu tuwe makini, watu wametoka garage hivi karibuni [emoji1787]

NB: Wanaume tunawindwa sana aisee [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]View attachment 2801358
kwa joto la bongo baada ya mwezi moja tu, wengi wao watagundulika maana kalio moja Lazima litashuka chini, jengine litapanda unoni, hips Lazima zitapishana utadhani wamepigwa ngumi ile ya upcut chembe la kidevu Lazima taya zipishane......
 
Back
Top Bottom