Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Wale wanawake walioenda kurekebisha makalio na maumbo kule hospital ya mloganzila jijini Dar es Salaam wameruhusiwa kurudi mtaani baada ya operation hiyo.

Kwa sasa nawaasa vijana wenzangu tuwe makini, watu wametoka garage hivi karibuni [emoji1787]

NB: Wanaume tunawindwa sana aisee [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]View attachment 2801358
Uzi huu bila picha Yao ni batili
 
Kwa hiyo wadada wa Arusha kina Depal ndio yatakaa fresh?halafu la Lamomy na shogae Missy Gf yatapishana eti?
hao sasa utamalizana nao mie simo,

Na kwa Arusha fresh, yatachelewa kidogo kulegea na kupishana...
Ila kwa jotroo la Dar aah aaah aah🤣 lazma kalio, hips zilegee na zipishane hata uvae kigodoro ngoma lazma zipishane
 
Wale wanawake walioenda kurekebisha makalio na maumbo kule hospital ya mloganzila jijini Dar es Salaam wameruhusiwa kurudi mtaani baada ya operation hiyo.

Kwa sasa nawaasa vijana wenzangu tuwe makini, watu wametoka garage hivi karibuni
emoji1787.png

NB: Wanaume tunawindwa sana aisee
emoji1787.png

emoji1787.png
[emoj
huyu mzee atafika mbinguni akiwa amechoka sana
 
hao sasa utamalizana nao mie simo,

Na kwa Arusha fresh, yatachelewa kidogo kulegea na kupishana...
Ila kwa jotroo la Dar aah aaah aah🤣 lazma kalio, hips zilegee na zipishane hata uvae kigodoro ngoma lazma zipishane
Walahi joto la Dar sio poa!hiyo kitu unasema yaweza tokea kabisa🤣
 
Back
Top Bottom