Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Nishahama zamani mbona? Hapa katikati nilibananishwa na ka-slim thick kamoja hivi mweh!

Nishaachana na hizo hekaheka za kitengo hasa ukizingatia kuwa na umri umeenda 😁😁😁
Siku hizi mpole sana, sijui umetulizwa engo gani😂😂

Na akupita mitaa yangu kimya kimya bila kunisslimia
 
Back
Top Bottom