Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Batch ya kwanza kutoka Mloganzila limeingia mtaani, muwe makini

Mhmh ukiwa na hela nyingi huwa inakosa matumizi, i believe waliofanya hiyo surgery wanajiweza, angalia wasanii wakubwa matajiri umeshaona wanavaaga mavitu gani?!!? wengi hawapendezi maana wanavaa hovyo tu ila ulizia alichokivaa ni bei gani utafunga mdomo, so hela ikikosa matumizi watu hujiingiza kwenye mambo mengi sana mengine ya kishenzi, ila matako makubwa yapo kwenye soko sana karne hii ndiyo maana wachache wanayaboresha hapo mtulaumu sisi wanaume maana mkitembea hivi huwa mnatingisha network kichwani [emoji6]

Ndio mana nasemaje ni kukosa kujiamini au ndio ulimbukeni wa kukamata pesa nyingi hadi kushindwa kujua wazifanyie nini. Kufanya mambo ya ajabu nakubali lkn hayo mambo ya ajabu yanaweza kuwa mambo mengine yasiyohusiana na kujiharibu mwili. Mfano hapo umetaja mavazi hii nakubali, lifestyle yao kiujumla unakuta ni ya ajabu ila si suala la kukorokochoa mwili my friend hii kitu ni hapana. Sema ndio vile pesa ni zao nisiwapangie [emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi best, wewe si unayo hile natural rafiki usiweke za bandia madhara ni mengi
 
Kuna like tako sijui ni yule dada anaitwa Nicole jamani nooo kwa kweli...na yule sijuii Ni Malaikaa...hapana aisee mapaja tumikono khaaaa...vimiguuuu nooo aiseee
Kwakweli Nicole hapana,Tako gani like jmn?
Mapaja,mikono haieleweki
Alikuwa mzuri yule dada jmn
Sijui nani alimdanganya 🙌
Same applies to posh qeen
Alikuwa mzuri nae kaenda kuongeza🙌
Kaharibu umbo lake
 
Back
Top Bottom