Kwani kuna tatizo gani kuweka dini kwenye sensa, mbona nchi nyingi duniani wameweka sehemu ya dini, kama Uingereza, Misri, Israel, na hakuna tatizo lolote.
Bakwata pia iagizeni Serikali ya JK ifanye sensa pia kwenye chama changu cha CCM kubaini idadi ya Wanachama kwa Dini Zao na kisha CCM isambaratishwe kwa Waislam wote wafukuziwe CUF na Wakristo wafukuziwe Chadema,then tuitishe uchaguzi Mkuu Tanzania tuone wapi wa Tashinda na kutawala Tanganyika. Huo ni mfano tu wa athari zinazoweza kujitokeza kwa waislamu kuendelea kung'ang'ania maswala ya Kidini ilihali wanabebwa sana hapa Tanganyika wangejua Waislam wengi ni majina tu na sio vitendo. huu ulikuwa mfano unaokaribiana na ukweli
Kama ulichokiandika ndicho unachomaanisha inaelekea haukusoma na kama umesoma inaelekea ulikuwa unakariri na hauna ufahamu wa mambo. Jitahidi uwe mwelewa wa umuhimu wa kipengele cha dini katika sensa.
Nlishamjibu mwenzako huko nyuma kuwa kwenye dini yetu ufisadi ni haramu.Soma Quran suratulbaqra.Lakini kwenu mnaambiwa mfisidi halafu mtoe sadaka mali zenu zitakaswe.Sisi tukiwa kwenye utumishi wa umma pengine mafisadi kati yetu watakuwa ni chini ya asilimia moja na 99% ni wasafi,huoni kuwa maendeleo ya haraka yatapatikana?
hahahahahhahahah kweli watu wamedata...kodi ya watanzania gani imejenga kcmc...bugando...tumaini university...st augustine univ....st. john university....mkombozi bank....bank ya kkkt.....msifananishe na kile chuo cha kiislam morogoro mlichopewa na mkapa.. kile kweli kimejengwa na kodi za watz wote coz kilikua cha tanesco lakini sio hivo hapo juu hahahahahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaa:A S-baby::A S-baby::bange::bange::bange::israel::israel:
Kwani hiyo dini yako ni bora kuliko dini za wengine? Tatizo lenu hakuna uongozi wa juu, wa kati, hadi chini. Kwenu kila mtu ni mkubwa na utaratibu wenu wote ni shagalabagala tu ndo maana hakuna wa kuwaweka pamoja na kujihesabu.
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi wako naomba unisaidie na hii mkuu...
Ghana kuna Wakiristo 68.8% Waislam 15.9%...Nigeria kuna Waislam 50% Wakiristo 40%...China kuna Wakiristo 3.1% Waislam 3.2%...
Sensa ya mwaka 1957 ya kikoloni kipengele cha kuonesha dini kilikuwepo na ndio kinachoonesha takwimu waislamu wangapi na wakristo wangapi, na ukiangalia mwaka huo 1957 waislamu walikuwa ni 65%.
Baada ya hapo sensa zote zilizofuata kipengele cha dini kilifutwa; ajabu leo hii watu wanasema wakristo wapo wengi kuliko waislamu kwa takwimu zipi ikiwa kipengele cha kuorodhesha watu dini zao hakipo.
Pili ni kwanini wanaogopa kuhesabu watu kwa kutumia kigezo cha dini? Wengi watasema wanaogopa udini, hii hoja ni dhaifu maana nchi nyingi duniani sensa zinahebabiwa kwa mtindo wakujua idadi ya watu na dini zao ni asilimia ngapi katika nchi hizo.
Waandishi wa habari wetu hovyo kabisa!
Mwandishi anakurupuka tu kuandika title kubwa "BAKWATA" ili hali Sheikh Mussa Kundecha ni wa Shura ya Iman chombo ambacho kinakinzana na mtazamo wa Bakwata!