BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

Sensa itafanyika hata wakigoma,alaf serikali ita wakadilia idadi yao.
 
Majengo ya KCMC na Bugando ni mali biinafsi ya dini zao na sio unavyoandika. Mmelala usingizi wa Allah!

Truly, god loves those who fight

- Fight and slay the pagans wherever you find them,
and seize them, beleaguer them, and lie in wait for
them in every stratagem.

- Chop off their hands and chop off their fingertips

- When you meet the unbelievers, chop off their
heads

- Fight and slay those who don't convert wherever
you find them

- Believers, take neither Jew nor Christians for your
friends

- Those who follow Muhammad are ruthless to
unbelievers

- Those who reject Islam are "the vilest of creatures"
and thus deserve no mercy

- Fight them until Islam reigns supreme (throughout
the world)

Asante mkuu kwa vipande hivyo vya aya japo umeviweka si mahala pake.We hujui historia ya ujenzi wa hizo hospitali hebu kasome historia vizuri ndo utagundua kuwa hizo ni mali ya umma japo mnazifisadi kwa faida ya wachache
 
Tanzania ina Imani ya UTU wa Mtu!

Na utu wa kiisalam, kikristo, kiyahudi, kipagani etc ni huo huo ... UTU NI UTU period!!!! Hakuna kelele!!

Utanzania ni Utu ikowapi shida!! Kama utu ukiwa na uisalam wake, ukristo wake, upagani wake ..that isnt our issue .. Issue kwetu ni Utu na Utu ni Utanzania.

Mimi Ninamuamini MUNGU Ok !! Na Dini yangu Mimi ni UTU!!! Na utu ndio Uungu nadani yagu! Na uisalam, ukristo, upagani wote ni wadau wa Utu hawaupinga hata kidogo!!

Naheshimu utu wangu na wa kila mtu na kuutetea na kuulinda hadi kiama!! How does that sound!!!!:yo:
Nadhani na wewe umefuta kipengele cha dini kwa kutoa dini ya jumla kwa Watanzania kuwa ni UTU.
 
...ok,kwahiyo unakubali kuwa wote ni mafisadi,waislam kwa wakristu!bt tatizo lako ni idadi,kuwa wengi wa hao mafisadi ni wakrito!what if wangekuwa sawa kwa idadi,msingelalamika?na huko kujua hiyo idadi yenu ndo itasaidia kuondoa ufisadi?

Nlishamjibu mwenzako huko nyuma kuwa kwenye dini yetu ufisadi ni haramu.Soma Quran suratulbaqra.Lakini kwenu mnaambiwa mfisidi halafu mtoe sadaka mali zenu zitakaswe.Sisi tukiwa kwenye utumishi wa umma pengine mafisadi kati yetu watakuwa ni chini ya asilimia moja na 99% ni wasafi,huoni kuwa maendeleo ya haraka yatapatikana?
 
Zote zilijengwa kwa kodi za wtz wote na bado zinaendeshwa kwa kodi za watz.kanisa halina ujiko hapo

hahahahahhahahah kweli watu wamedata...kodi ya watanzania gani imejenga kcmc...bugando...tumaini university...st augustine univ....st. john university....mkombozi bank....bank ya kkkt.....msifananishe na kile chuo cha kiislam morogoro mlichopewa na mkapa.. kile kweli kimejengwa na kodi za watz wote coz kilikua cha tanesco lakini sio hivo hapo juu hahahahahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaa:A S-baby::A S-baby::bange::bange::bange::israel::israel:
 
Asante mkuu kwa vipande hivyo vya aya japo umeviweka si mahala pake.We hujui historia ya ujenzi wa hizo hospitali hebu kasome historia vizuri ndo utagundua kuwa hizo ni mali ya umma japo mnazifisadi kwa faida ya wachache

Yawezekana mjenzi akawa hata Muislamu but akalipwa ujira hapo utasema zimejengwa na Serikali? FAfanua basi zilipatikanaje?
According to the Qur'an: "Muhammad is the Apostle of Allah. Those who follow him are merciful to one another, but ruthless to unbelievers" Surah 48:29. "Kill the Mushrikun (unbelievers) wherever you find them, and capture them and besiege them, and lie in wait for them in each and every ambush..." Surah 9:5. Also see Surah 9:29: PICKTHAL: "Fight against such of those who have been given the Scripture (Christians & Jews) as believe not in Allah nor the Last Day, and forbid not that which Allah hath forbidden by His messenger, and follow not the Religion of Truth, until they pay the tribute readily, being brought low.".

Hizo ni ngonjera mkuu,ajira za serikali haziko wazi kuna ufisadi mwingi,zingekuwa zinatolewa kwa ushindani wala usingesikia haya.Wewe si ndo unafanya kazi katika ile kampuni ya kitimoto? sasa unadhani waislamu watakuja huko saa ngapi bana!
Ni kweli maana na mimi niliomba kazi serikalini mara kibao sikupata japo jina langu halina uhusiano na u-Islamu.
Mungu Bariki Bosi wangu akafungua kampuni yake unayoiita kama ulivyopenda, lakini nafanya kazi bila tatizo.
Waulize wanaofanyakazi kwenye migodi watakujibu kuhusu KITIMOTO!.
 
Ukilitizama jambo hili kwa undani utaona kuwa hata hesabu yenyewe haina haja wakati wananchi hivi sasa wana hali ngumu kuliko kipindi chochote kilichopita.
 
kwani kuna tatizo gani kuweka dini kwenye sensa, mbona nchi nyingi duniani wameweka sehemu ya dini, kama uingereza, misri, israel, na hakuna tatizo lolote.

hiyo mifaano ya kutajiana nchi nyingine ni upuuzi. Kama vipi basi na

machangu na mashoga tuwahesabu ili tujue idadi yao kama wengi waruhusiwe kufanya biashara na walipe kodi nchi ipate kipato, kama ilivyo uingereza n.k
 
GWANA FORUM TUWE WAUNGWANA NA TUJADILI KISOMI BILA UNAFIKI!!!!!!!!!!!!!!!!

Tuna zaidi ya wiki moja tunajadili suala la sensa na kipengele cha dini. naomba niulize kisha nijibu maswali yafuatayo;

1- Sensa ni nini?
sensa ni zoezi la kuhesabu watu wakazi katika eneo husika likisimamiwa na chombo halali kilicho na dhamana ya kufanya hivyo. Aghalabu, sensa ya kitaifa hufanyika kila baada ya miaka kumi.

2- Lengo la sensa ni nini?
Lengo kuu la sensa ni kujua idadi ya watu kiumri, kijinsia, kimakzi ktk eneo husika, kikazi(ajira) na kidini (hapa ndiyo penye utata) ili kusaidia ktk mikakati ya kupanga huduma za jamii, uchumi na maendeleo ya nchi.

3-Kipengele cha dini kiliwahi kuwekwa kwenye dodoso ya sensa hapa nchini?
ndiyo. sensa za mwaka 1957 na 1967 zilikua na kipengele cha dini

4-Kipengele hicho cha dini kilichangia kuvunja amani nchini?
hapana hakijawahi kusababisha uvunjifu wa amani kwa kuwekwa kwenye sensa?

5- Kwa nini kiliondolewa? na nani?
sababu hazijulikani lakini nadhani rais wa kwanza alikiondoa ktk dodoso ya sensa ya tatu 1977 kwa kuhofia jambo moja. Sensa zote mbili zilionesha Waislamu ni wengi hapa nchini. hali halisi ikaonesha kuwa Waislamu ni wachache sana katika ajira za sekta ya umma (serikalini). ikumbukwe kuwa Waislamu waliogopa kupeleka watoto wao katika shule za kikoloni (wazungu) wakihofia watabadilishwa dini. hali hii ikafanya idadi ya wasomi waislamu kuwa ndogo. Mwalimu Nyerer hakuzuia Waislamu kusoma. ni khofu wa wazee wenyewe wa Kiislamu. naweza kusema walikosea na kwa upande mwengine walikua sahihi. Vile mwalimu alikua mwana saikolojia, aliona HATARI ya kuwa na watu wengi hapa nchini wenye asilimia kiduchu ktk idara za serikali. JAMBO LA KWANZA, BILA KULISHAURI BUNGE, MWL AKAAGIZA KIMYAKIMYA KIONDOLEWE KIPENGELE CHA DINI KTK SENSA.

simlaumu mwalimu katika hili. ALITAKA KULINDA UMAJO WA NCHI. narudia tena. ni wazee wenyewe wa kiislamu ndiyo walihofia watoto wao kubadilishwa dini wakisomesha ktkt shule za misheni.

kama mnavoelewa, mtu akiwa na cheo ofisini, anapopata habari ya ajira HUMFAHAMISHA NDUGU YAKE AU JAMAA WA KARIBU AU RAFIKI YAKE. bila kutarajiwa, kadri miaka ilivyozidi, wakristo wakawa wameshamiri maofini kwa asilimia kubwa sana. NAMLAUMU BABA WA TAIFIA KWA JAMBO MOJA. baada ya kugundua hatari iliokuepo, angejitahidi kufanya mkakati maalumu wa kuwasomesha waislamu wachache na kuwasimika ktk ajira ya umma ili kulazimisha ongezeko la idadi yao. nadhani hili hakulifanya! hali imeendelea hivyo hadi hii leo.

6-KWA NINI AKINA PONDA WANALALAMIKA?
sasa hivi ukienda kwenye ofisi za serikali kama TRA, VYEO VYA JUU POLISI (kuwepo said mwema juu kabisa siyo kigezo tosha), VYEO VYA JUU JESHINI, WIZARA ZOTE ZA SERIKALI .... nk utakuta ofisi zimekaa kama parokia fulani. wakristo watupu (najua hili kwa wakristo ama hawasilioni au wanaliona na wanalijua). wapo waislamu ambao wamesoma (japo hawajawafikia wakristo) lkn waislamu walio wengi wanapata rizki katika biashara, muziki, mpira, uvuvi, kilimo, umachinga na kazi ngumu kama kusukuma mikokoteni na kubeba mizigo (hawajui wala kunusa WHITE COLAR JOBS). vijana wengi wa kiislamu wnabwiya unga. wanaishia la saba! kaka zao wanashindwa kuwasaidia kwa SABABU HAWAMO SERIKALINI. HAWANA MSHAHARA WA MWISHO WA MWEZI. wasomi waislamu hili wanaliona na wanalijua. AKINA PONDA WANAONA ILI UNFAIR TREATMENT iliyokuepo kipindi cha mwalimu imetapakaa na kukua hadi hii leo. kwa anae jua maana ya govt adminstrtve strcture pamoja na local gvt system, hawezi kuema ooohhh mbona rais na makamu ni waislamu? thats nothing! kwenye wizara na halmashauri nchini waislamu ni chini ya asilimia 9. hawakutaka wenyewe. serikali kama mzazi haikuweka mkakati wa kukosoa kosa lililofanywa na wazee kuogopa shule za kimisheni (sina uhakika kama ni kosa kwa sababu kweli baadhi walibadilishwa au walilazimika kutumia majina ya kikristo ili wakasome. bob makani ni mmoja wao).

7-MADAI YA PONDA NI YAPI?
ponda anasema "enough is enough. tutumie sensa kama gia ili tujue idadi kisha yaje madai ya kuuliza mbona waislamu ni asilimia 35, 40 50 au 55 lakini kwenye ajira asilimia 9!!!!!!!?" NI BOMU AMBALO LIPO NA LITAPASUKA. NATABIRI KUWA kama kipengele cha dini hakitawekwa, waislamu watatafuta haki ya uwiano kiajira kwa njia ambazo zitavunja amani.

USHAURI WANGU
NI wakati muafaka tuache kuweka majivu kwenye moto tukidhani umezimika. UKWELI NI KWAMBA KIJANA WA KIISLAMU ANAPOKWENDA SERIKALINI KUOMBA KAZI, hujihisi kwa anakwenda parokiani. na akitaja jina la kiislamu, huangaliwa na walakini. hili jambo linawasononesha waislamu kuwa hivyo katika nchi yao licha ya kupigania UHURU WA NCHI HII NA KUMPOKEA NYERERE DSM NA KUMKABIDHI TAA KISHA TANU

nimeandika kwa nia njema. nitafurahi nikijibiwa kwa hoja bila ya ushabiki wa kidini wala matusi
WANA FORUM TUWE WAUNGWANA NA TUJADILI KISOMI BILA UNAFIKI!!!!!!!!!!!!!!!!

Tuna zaidi ya wiki moja tunajadili suala la sensa na kipengele cha dini. naomba niulize kisha nijibu maswali yafuatayo;

1- Sensa ni nini?
sensa ni zoezi la kuhesabu watu wakazi katika eneo husika likisimamiwa na chombo halali kilicho na dhamana ya kufanya hivyo. Aghalabu, sensa ya kitaifa hufanyika kila baada ya miaka kumi.

2- Lengo la sensa ni nini?
Lengo kuu la sensa ni kujua idadi ya watu kiumri, kijinsia, kimakzi ktk eneo husika, kikazi(ajira) na kidini (hapa ndiyo penye utata)

3-Kipengele cha dini kiliwahi kuwekwa kwenye dodoso ya sensa hapa nchini?
ndiyo. sensa za mwaka 1957 na 1967 zilikua na kipengele cha dini

4-Kipengele hicho cha dini kilichangia kuvunja amani nchini?
hapana hakijawahi kusababisha uvunjifu wa amani kwa kuwekwa kwenye sensa?

5- Kwa nini kiliondolewa? na nani?
sababu hazijulikani lakini nadhani rais wa kwanza alikiondoa ktk dodoso ya sensa ya tatu 1977 kwa kuhofia jambo moja. Sensa zote mbili zilionesha Waislamu ni wengi hapa nchini. hali halisi ikaonesha kuwa Waislamu ni wachache sana katika ajira za sekta ya umma (serikalini). ikumbukwe kuwa Waislamu waliogopa kupeleka watoto wao katika shule za kikoloni (wazungu) wakihofia watabadilishwa dini. hali hii ikafanya idadi ya wasomi waislamu kuwa ndogo. Mwalimu Nyerer hakuzuia Waislamu kusoma. ni khofu wa wazee wenyewe wa Kiislamu. naweza kusema walikosea na kwa upande mwengine walikua sahihi. Vile mwalimu alikua mwana saikolojia, aliona HATARI ya kuwa na watu wengi hapa nchini wenye asilimia kiduchu ktk idara za serikali. JAMBO LA KWANZA, BILA KULISHAURI BUNGE, MWL AKAAGIZA KIMYAKIMYA KIONDOLEWE KIPENGELE CHA DINI KTK SENSA.

simlaumu mwalimu katika hili. ALITAKA KULINDA UMAJO WA NCHI. narudia tena. ni wazee wenyewe wa kiislamu ndiyo walihofia watoto wao kubadilishwa dini wakisomesha ktkt shule za misheni.

kama mnavoelewa, mtu akiwa na cheo ofisini, anapopata habari ya ajira HUMFAHAMISHA NDUGU YAKE AU JAMAA WA KARIBU AU RAFIKI YAKE. bila kutarajiwa, kadri miaka ilivyozidi, wakristo wakawa wameshamiri maofini kwa asilimia kubwa sana. NAMLAUMU BABA WA TAIFIA KWA JAMBO MOJA. baada ya kugundua hatari iliokuepo, angejitahidi kufanya mkakati maalumu wa kuwasomesha waislamu wachache na kuwasimika ktk ajira ya umma ili kulazimisha ongezeko la idadi yao. nadhani hili hakulifanya! hali imeendelea hivyo hadi hii leo.

6-KWA NINI AKINA PONDA WANALALAMIKA?
sasa hivi ukienda kwenye ofisi za serikali kama TRA, VYEO VYA JUU POLISI (kuwepo said mwema juu kabisa siyo kigezo tosha), VYEO VYA JUU JESHINI, WIZARA ZOTE ZA SERIKALI .... nk utakuta ofisi zimekaa kama parokia fulani. wakristo watupu (najua hili kwa wakristo ama hawasilioni au wanaliona na wanalijua). wapo waislamu ambao wamesoma (japo hawajawafikia wakristo) lkn waislamu walio wengi wanapata rizki katika biashara, muziki, mpira, uvuvi, kilimo, umachinga na kazi ngumu kama kusukuma mikokoteni na kubeba mizigo (hawajui wala kunusa WHITE COLAR JOBS). vijana wengi wa kiislamu wnabwiya unga. wanaishia la saba! kaka zao wanashindwa kuwasaidia kwa SABABU HAWAMO SERIKALINI. HAWANA MSHAHARA WA MWISHO WA MWEZI. wasomi waislamu hili wanaliona na wanalijua. AKINA PONDA WANAONA ILI UNFAIR TREATMENT iliyokuepo kipindi cha mwalimu imetapakaa na kukua hadi hii leo. kwa anae jua maana ya govt adminstrtve strcture pamoja na local gvt system, hawezi kuema ooohhh mbona rais na makamu ni waislamu? thats nothing! kwenye wizara na halmashauri nchini waislamu ni chini ya asilimia 9. hawakutaka wenyewe. serikali kama mzazi haikuweka mkakati wa kukosoa kosa lililofanywa na wazee kuogopa shule za kimisheni (sina uhakika kama ni kosa kwa sababu kweli baadhi walibadilishwa au walilazimika kutumia majina ya kikristo ili wakasome. bob makani ni mmoja wao).

7-MADAI YA PONDA NI YAPI?
ponda anasema "enough is enough. tutumie sensa kama gia ili tujue idadi kisha yaje madai ya kuuliza mbona waislamu ni asilimia 35, 40 50 au 55 lakini kwenye ajira asilimia 9!!!!!!!?" NI BOMU AMBALO LIPO NA LITAPASUKA. NATABIRI KUWA kama kipengele cha dini hakitawekwa, waislamu watatafuta haki ya uwiano kiajira kwa njia ambazo zitavunja amani.

USHAURI WANGU
NI wakati muafaka tuache kuweka majivu kwenye moto tukidhani umezimika. UKWELI NI KWAMBA KIJANA WA KIISLAMU ANAPOKWENDA SERIKALINI KUOMBA KAZI, hujihisi kwa anakwenda parokiani. na akitaja jina la kiislamu, huangaliwa na walakini. hili jambo linawasononesha waislamu kuwa hivyo katika nchi yao licha ya kupigania UHURU WA NCHI HII NA KUMPOKEA NYERERE DSM NA KUMKABIDHI TAA KISHA TANU

nimeandika kwa nia njema. nitafurahi nikijibiwa kwa hoja bila ya ushabiki wa kidini wala matusi
 
hahahahahhahahah kweli watu wamedata...kodi ya watanzania gani imejenga kcmc...bugando...tumaini university...st augustine univ....st. john university....mkombozi bank....bank ya kkkt.....msifananishe na kile chuo cha kiislam morogoro mlichopewa na mkapa.. kile kweli kimejengwa na kodi za watz wote coz kilikua cha tanesco lakini sio hivo hapo juu hahahahahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaa:A S-baby::A S-baby::bange::bange::bange::israel::israel:

Mbona unaruka viunzi mkuu? tunazungumzia hospitali wewe unaingiza vyuo ana kweli umedata
 
Hakuna kurudi myuma hadi kieleweke!

Wamezoea sana hawa kuona nchi hii mali yao!
 
Nimegundua huu ni mchezo mwingine wa kuwafanya wa-Tz waache kufuatilia mambo ya msingi kama BAJETI ili waweze kupitisha kiulaini.
Simo tena nahamia kwenye BAJETI!.

To hell with it!
 
Yawezekana mjenzi akawa hata Muislamu but akalipwa ujira hapo utasema zimejengwa na Serikali? FAfanua basi zilipatikanaje?
According to the Qur'an: "Muhammad is the Apostle of Allah. Those who follow him are merciful to one another, but ruthless to unbelievers" Surah 48:29. "Kill the Mushrikun (unbelievers) wherever you find them, and capture them and besiege them, and lie in wait for them in each and every ambush..." Surah 9:5. Also see Surah 9:29: PICKTHAL: "Fight against such of those who have been given the Scripture (Christians & Jews) as believe not in Allah nor the Last Day, and forbid not that which Allah hath forbidden by His messenger, and follow not the Religion of Truth, until they pay the tribute readily, being brought low.".

Endelea kuchimba maana wako wengi kama wewe waliosoma Quran kwa ajili ya kuchallenge wame end up kusilimu,ndio maana Uislamu ni dini inayokuwa kwa kasi duniani
 
Ni kweli maana na mimi niliomba kazi serikalini mara kibao sikupata japo jina langu halina uhusiano na u-Islamu.
Mungu Bariki Bosi wangu akafungua kampuni yake unayoiita kama ulivyopenda, lakini nafanya kazi bila tatizo.
Waulize wanaofanyakazi kwenye migodi watakujibu kuhusu KITIMOTO!.

We acha uzushi.Mimi ninamiliki kampuni ya madini na nina migodi miwili mbona sjaona hiyo kitimoto
 
nasema hiviiiii. . . . . . . . . . Mkiweka tu hicho kipengele cha dini wanachokitaka hao waliotangaza kugomea,nisiwaone kwangu na madodoso yenu!
 
Mkuu kama hukusikiliza BBC asubuhi ya leo basi shehe Kundecha alitegua mtego kwa kudai kuwa wananyimwa haki ya mahakama ya kadhi kuingizwa kwenye katiba kwa kudhaniwa kuwa ni wachache!

...ok,walishaambiwa na serikali km wanataka waanzishe wao km wao,bt sio eti serikali ndo iwaanzishie!na itumie rasimali ya watz wote kuwanufaisha wao tu! Kwani wanaona shida gani kuanzisha wenyewe,labda mtuambie hili!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom