suala la sensa lenyewe kwa ujumla wake halina tija sembuse kuweka kipengele cha dini
Hata faida ya sensa sijaiona wala na mimi sitoshiriki, ikiwa itafanywa kama hamna kipengele cha dini sitoshiriki.
Hakuna maendeleo yyte hapa Tz ni uhuni na ufisadi.
suala la sensa lenyewe kwa ujumla wake halina tija sembuse kuweka kipengele cha dini
Nadhani habari huwa zinakupita pembeni.... Imekatazwa Mtu yeyote awe mwanasiasa au Viongozi wa Dini kukataza Watu kushiriki Sensa na ikibainika Watachukuliwa sheria ya kutenda kosa la Jinai..-MKURUGENZI WA SENSA
ingekuwa hivyo mbona lipumba angeshinda.kwasababu cuf =islam.Sensa ya mwaka 1957 ya kikoloni kipengele cha kuonesha dini kilikuwepo na ndio kinachoonesha takwimu waislamu wangapi na wakristo wangapi, na ukiangalia mwaka huo 1957 waislamu walikuwa ni 65%.
Baada ya hapo sensa zote zilizofuata kipengele cha dini kilifutwa; ajabu leo hii watu wanasema wakristo wapo wengi kuliko waislamu kwa takwimu zipi ikiwa kipengele cha kuorodhesha watu dini zao hakipo.
Pili ni kwanini wanaogopa kuhesabu watu kwa kutumia kigezo cha dini? Wengi watasema wanaogopa udini, hii hoja ni dhaifu maana nchi nyingi duniani sensa zinahebabiwa kwa mtindo wakujua idadi ya watu na dini zao ni asilimia ngapi katika nchi hizo.
ushauri wangu kwa waisilamu:
- shiriki sensa
- ukiulizwa maswali ukaona jamaa amemaliza bila kukuuliza dini yako, mwambie mimi ni muisilamu
TAFAKARI KABLA YA KUNENA! SHEIKH kundecha ni mtu muadilfu mno uadilfu ambao hata huyo pengo, mukiwa na wngine wengi waliopotea katika njia ya M/MUNGU hawaufikii uadilifu wake, hivi huyu kundecha amekumbana na moja ya mambo yafuatayo! amewahi kubaka? amewahi kudhulumu? amewahi kuuza madawa ya kulevya? amewahi kulawiti? acheni upungufu wa fikra ni nani uamsho? punguzeni kula nguruwe musiwe wapungufu wa akili kiasi hicho! UAMSHO ni taasisi ya karaia iliyopo kisheria na sasa tunakubalika za wazanzibar zaid ya 90%, UAMSHO imewatibu wa zanzibar wangapi? FUATILIA TAKWIMU! Tumesomesha wangapi? na tumehudumia wangapi? Nataka mufahamu kuwa tuna uhusiano mzuri wa balozi wa america, israel na uk! fuatilia uchaguzi wa zanzibar 2010 jee uamsho walikuwa nafasi gani? acheni pumba na musijidanganye tunajua mengi juu ya mkakati wenu mchafu juu yetu. fuatilia semina ya baraza la wawakilishi 21- 22 july 2012 . Sensa haina umuhimu kwetu! sisi kam UAMSHO tunawapongeza bakwata katka hiliHii Habari siwezi kuiamini haina ukweli wowote, Bakwata ni tawi la CCM sasa ni kitu ambacho hakiwezekani kupingana na Serikali yao wanayoitumikia, kama kuna kauli ya namna hii imetolewa basi itakuwa ni ya yule muhuni anayeitwa Shekh Ponda ambaye yuko kwenye jumuiya nyingine ambayo haina tofauti na UAMSHO.
ingekuwa hivyo mbona lipumba angeshinda.kwasababu cuf =islam.
Waiuslamu wanatak tz iige
kila kinachofanyika na nchi fulani..................sio kuiga kila kitu
hata ambacho hakina faida kwa watz wote sisi ni taifa huru ni lazima
tuwe na uamuzi na mambo tunayoona yanafaa kwa mustakabali wa amani na
umoja wetu.........
Mbona kila mtu anajua kuwa wakristo ni 60% waislamu ni 23% na the rest
ni mchanganyko?
Hawa wenzetu huwa wanapenda kufanyiwa kila kitu,Mahakama ya kadhi serikali iwaanzishie,Bakwata inahudumiwa na serikali 100%,chuo kikuu wamepewa na serikali kimewashinda.what do u expect?hivi hamwezi kuhesabiana ninyi kwa ninyi? mbona kila kanisa linajua lina waumini wangapi active na inactive, ninyi mmeshindwa nini?
Ushauri wangu kwa waisilamu:
- Shiriki sensa
- Ukiulizwa maswali ukaona jamaa amemaliza bila kukuuliza dini yako, mwambie mimi ni muisilamu
waambie hao mzee.....safi sanaalieunda bakwata ashafariki. Mwalimu nyerere kwa nia ya kuundamiza uislam.
$£×Thanks...nini tena kitasusiwa baada ya sensa?