GE2025 Baba Levo akinukisha, ataka kura zihesabiwe upya

GE2025 Baba Levo akinukisha, ataka kura zihesabiwe upya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wananchi wa kigoma na wanaCcm tunasimama na Baba Levo.

Haiwezekani Baba Levo wampore haki yake.

Haiwezekani.
Sasa hapa nyote ni mboga mboga, mna toana roho, wapinzani wakiwepo ita kuwaje? Chadema ni mpango wa Mungu
 

Mnapoambiwa No Reforms No Election muelewe shida inapoanzia hadi kunajisi Taifa
 
Ashitakiwe kwa kuleta taharuki na uvinjifu wa amani
 
Back
Top Bottom