baba levo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Wenye midomo hawasemi Rais Samia anavyoleta miradi ikitokea tumekopa midomo mingi

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza leo Julai 20, 2026 katika uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma, katika eneo la Katosi, Halmashauri ya Kigoma Ujiji uliohudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Baba...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Zitto aangukia Pua, Mahakama yasema Baba Levo hana kesi ya kujibu

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma muda mfupi uliopita leo, Alhamisi tarehe 16/07/2026 Mahakama imeifuta kesi ya uchaguzi iliyokuwa imefunguliwa Mahakamani hapo na wananchi wanne (4) waliojitambulisha kuwa wapiga kura wa Jimbo la Kigoma Mjini dhidi ya Mbunge wa Jimbo la...
  3. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Baba Levo ashinda kesi ya uchaguzi.

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma, leo Alhamisi Julai 16, 2026, imeifuta kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini yaliyompa ushindi Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Levocatus Chipando maarufu Baba Levo. Akitoa uamuzi huo, Jaji Victoria Nongwa anayesikiliza...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna kesi dhidi ya ubunge wa Baba Levo inavyoenda ni wazi atatenguliwa kuwa mbunge. Je, Zitto atashinda ?

    Naoma kama Baba Levo ushahidi umemlallia vibaya. Lakini ikiwa ubunge wake utatenguliwa kuna uwezekano wa Ayatollah wa ujiji kushinda? == Shahidi wa 16 upande wa waleta maombi, katika kesi ya uchaguzi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini (CCM) Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo)...
  5. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Baba Levo Hutoboi; Zitto Anapiga Jaramba kula Mema ya ...

    Mahakama huru. Maridhiano chanya. Wanaharakati Magaidi. Maridhiano siyo udhaifu. Hapo kaa kinjagu bwana mdogo, unaenda kuwa picha nzuri kwa mahakama. Mwisho wenzako wanakucheka 😂!.
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Je system inataka kumvua ubunge Baba Levo ili apewe Zitto?

    Kuna kesi inaendelea pale mahakama kuu masijala ndogo ya Kigoma kuhusu ushindi wa Clayton Chipando a.k.a Baba Levo kuhusu ubunge wake. Kuna tuhuma kuwa ushindi wa Baba Levo ulikuwa na hujuma kwa wapinzani wake wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025. Endapo atakutwa na hatia, Baba Levo anaweza...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu, MBUNGE Bora wako ni yupi? Mimi ni Baba Levo.

    Mi nshamaliza kwenye title
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Siasa Banah, Baba Levo ndo MBUNGE Bora mpaka Sasa kwenye Bunge la serikali iliyoingia madarakani 20 October?🤣😂

    Mpaka sasahivi Baba Levo ndo MBUNGE Bora, anafatiwa na simai aliyemwambia Nchimbi ni msaliti🤣😂 kama ndo hivyo nauliza kwa Nini majeshi hamtaki watoto waliomaliza darasa la 7 wawe wabunge? Baba Levo anatetea wanaume wanao pigwa na wake zao, anatetea boda boda, anatetea darasa sa Saba wenzake...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Bodaboda waondolewe Tozo ziongezwe kwenye Pombe

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo), akichangia Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa 2026/2027, leo Juni 22, 2026 Bungeni, amesema hatokubali ongezeko la tozo kwa Maafisa Usafirishaji ‘Bodaboda’ akisisitiza kuwa kundi hilo ni miongoni mwa Vijana waliowahi kuwa msaada mkubwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hisia zinaniambia Baba Levo ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge

    Katika kesi iliyopangwa kufanyika tarehe 6/7/26//2026 ya kupingwa ubunge wa ' Baba Levo' hisia za ndani kabisa zinaniambia ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Kuna wanawake wanatumwa kurekodi viongozi video za utupu hotelini

    Ila Babalevo leo kaamua kunyesha upande wake wa pili. Ila bunge la sasa linamambo ya hovyo mengi sanaa ================= Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo) ameibua mjadala na taharuki baada ya kudai kuwa kuna baadhi ya wanawake wanaotumika kuwarekodi viongozi wakiwa...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Nilikuwa Simkubali Baba Levo Kwa Uchawa Compared to ZZK, Leo Nimemsikia Bungeni, Kumbe ni Bonge la Kichwa, ni Akili Kubwa!, Nimememkubali Sana!.

    Wanabodi, Baada ya kuibuka kwa fani mpya ya uchawa, mimi nimekuwa nikiwaona machawa kama ni majitu fulani majinga zero brain!, nilipoangalia line up ya wagombea ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini, kupitia CCM, kulikuwa na very good big brain, siku ya matokeo ya kura za maoni ya CCM zikitangazwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Umeishi na Mwanamke ndani anakusingizia Ujauzito, wapo Wanawake amesomeshwa akishamaliza kusoma anamuona yule mwanaume hafai

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo) akichangia hoja bajeti ya Wizara ya maendeleo ya jamii leo Juni 1, 2026 Bungeni Dodoma "Huwezi kuwa umeishi na mwanamke ndani, anakusingizia ujauzito unalea miezi tisa, anazaa mtoto unamlea mtoto anafikisha miaka kumi, baadaye mnakosana...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Baba levo: Ukisikia vipindi vya redio elimu zinazotolewa ni kama zinawafundisha wanawake waende wakapambane na wanaume kwenye nyumba zao

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo) akichangia hoja bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, kwa mwaka wa fedha 2026/27 leo Juni 1, 2026 Bungeni Dodoma " Wizara hii imejikita zaidi kwenye kutetea wanawake, lakini tunapozungumzia maendeleo...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Baba Levo ampa siku 7 Abdul Nondo za kuomba radhi kwa kumzungumzia vibaya na asipofanya hivyo atalipa milioni 550

    Baada ya Mwenyekiti wa Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo, leo Mei 23, 2026 kutoa tuhuma mbalimbali dhidi ya Mbunge wa Kigoma Mjin Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo) ikiwemo kudai kuwa ubunge wake aliupata kwa ubabe na kwamba “alipachikwa” ushindi katika uchaguzi wa mwaka 2025, Mhe. Baba...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Nitamfikisha Baba Levo Mahakamani kwa kuniambia nilijiteka, aniombe radhi

    https://www.youtube.com/live/F26wOjys36A?si=1PcO6uI7Cfci1rwJ Abdul Nondo amezungumza hayo leo Mei 23, 2026 Jijini Dar es Salaam. kwenye Hoteli ya Land Mark Hotel , Riverside Ubungo. KUFUNGUA MASHTAKA DHIDI YA CLAYTON REVOCATUS CHIPANDO (BABA LEVO) KWA KUNICHAFUA, KUNIDHALILISHA, KUNIVUNJIA...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Viongozi wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya vizuri, baadhi ya sehemu hatujafanya vizuri

    Mbunge wa Kigoma mjini akifanya mahojiano na Chief Odemba amesema “Bado kuna baadhi ya Sehemu hatujafanya Vizuri, Viongozi na wanachama wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya Vizuri ili tutibu huo ugonjwa, Lakini kukataa tu kwamba tumeshatisha sana, tumetisha kwenye nini?”
  18. W

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Anayekataa Chadema sio Chama Kikubwa cha upinzani huyo naye kichwa chake kitakuwa kina shida

    Akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani Kuu na Chief Odema, Mbunge Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chiponda 'Baba Levo' amesema kuwa anaekataa CHADEMA sio chama kikubwa cha upinzani huyo mtu kichwa chake kitakuwa kina shida. Mimi nakiheshimu sana chama cha CHADEMA kimeleta upinzani nchini...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Tukipeleka wachezaji wazee kwenye AFCON tutapata aibu!

    Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Baba Levo, ametoa ushauri kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwekeza zaidi katika maendeleo ya timu ya taifa, hususan kwa kuwajengea uwezo wachezaji vijana watakaoiwakilisha Tanzania katika michuano ya AFCON 2027, ambayo nchi itakuwa miongoni...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Zitto alikuwa mpinzani aliyetepeta

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo), amesema hayo Mei 2, 2026 wakati akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani za Siasa kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba
Back
Top Bottom