GE2025 Baba Levo akinukisha, ataka kura zihesabiwe upya

GE2025 Baba Levo akinukisha, ataka kura zihesabiwe upya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa SISI TULIO KULIA LAKE ZONE KUNA KA MSEMO ""KUPUJA""

BABA REVO ALIONEKANA AKIWA ANA PUJA KARATASI LA MATOKEO AKISHINIKIZA KURA KUHESABIWA KWA UWAZII

Baba REVO alitakiwa kuwa mpole ile vurugu aliyo Fanya ndio kaonyesha tamaa ya madaraka na utovu wa nidhamu ULIO tukuka.
Unamjua Lwakatare yule alijipiga kitanzi katika ofisi ya mkurugenzi ndo wakamtangaza so sisiemu ukicheka nao utavuna mabua
 
Ukialikwa sana ukahudhuria matamasha mbele ya Rais ...unazoea unaanza kujiona nawe mkubwa una akili unaweza vyote....haya ndio madhara ya kuwaalika matahila kushiriki matukio ya taasisi ya Urais....
 
DAH HIVI Hawa vijana mshauri WAO ni nani? Inachosha kwa KWELI MBONA Paul makonda alikubali akawa mpole?

Muda UKIFIKA mambo huwa yanakwenda menyewe TU. MWISHO ataharibu na kuwachukiza WAKUU MANA BADO Kuna last chance tulieeeniiiii.



Kwishaaaaaaa
 
Back
Top Bottom