DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,362
- 83,358
Aaaa wampatie ushindi wake halaliWizi wa kura ni "sunna" ndani ya chama hicho.
Aaaa wampatie ushindi wake halaliWizi wa kura ni "sunna" ndani ya chama hicho.
Ma mbwa haya ndiyo yanaongiza nchi...kuna kitu tulimkosea MunguBaba Levo agoma, anataka kura zihesabiwe upya
Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM
Chanzo: Kitenge updates
Mbunga ndiyo nini?si bora hata yeye kajaribu kuliko wewe maiti uliyekufaHana adabu hafai kuwa mbunga
Mitano tena😂😂😂😂😁😁😁😁
Ccm mbele Kwa mbele
Wampe tu Ushindi wakeBaba levo nachojua ameshinda kihalali
Qmmk ndio akitoka ajue suala la No reform No Election sio la CDM ni letu soteBaba Levo agoma, anataka kura zihesabiwe upya
Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM
Chanzo: Kitenge updates
Hakika watakuwa wamekosea Sana kumnyima ushindi wake halaliWampe tu Ushindi wake
Amesha jiharibia,hata kama kulikua na wazo la kumfikiria kwa njia nyingine,ndio basi tena.Hana adabu hafai kuwa mbunga
Ukweli Baba Levo kaibiwa kuraBaba Levo agoma, anataka kura zihesabiwe upya
Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM
Chanzo: Kitenge updates
Mkuu,unaweza kuuweka hapa huo ukweli ili na sisi tuuone?Ukweli Baba Levo kaibiwa kura
YesAmesha jiharibia,hata kama kulikua na wazo la kumfikiria kwa njia nyingine,ndio basi tena.
Ukweli Baba Levo kaibiwa kura
Hao kina baba levo!?- Wanajuana kwa viremba:
View attachment 3432012