Baada ya kimya kingi hatimae Abood Bus Service aleta bus mpya!

Baada ya kimya kingi hatimae Abood Bus Service aleta bus mpya!

Yutong Dar - Moro ndio yatafaa. Safari fupi, hakuna shuruba za Milima na Mabonde, naamini ni uamuzi mzuri kibiashara
 
Hizo Tong Tong haziashirii mzalishaji kuwa ni yuleyule kweli!? Toyota chesser, crester na mark ii wanabadili mwonekano katika maeneo machache lakini mifumo ni ileile

Nakumbuka kule Mwanza kama sijasahau ni Tarime au Shinyanga niliona pikipiki aina ya maganga lakini parts ni exactly the same as pikipiki zingine za kichina

Itakuwa Musoma
 
Andare class ni mabasi imara sn, Abood aliniunua 2003 mpaka leo bado yanadunda
 
siku dar express akinunua yutong itakuwa msiba kwangu..body za yutong ni kama karatasi
 
Greenstar ni youtong inapiga Dar mwanza.

Najua, ila ni unrealiable kweli kweli.

Tunasahau haya magari wenzetu wanayatumia kwa shughuli nyepesi tena kwenye miundo mbinu mizuri. Sasa unatoka Kyela basi limejaa mchele na matoki abiria 65, unadhani baada ya miezi 6 utakuwa na gari hapo.
 
Duh hizi yutong na zhotong zitatumaliza Abood naye kafuata mkato? kutoka marcopolo hadi yutong mchina? naisubiri dar express na kilimanjaro nitangaze msiba rasmi...hayo magari ya kichina yakipata ajali ndo utajua nini maana ya mchina! asije akahamia tu kwenye ndege!

Dar express na Kilimanjaro pia wana Yutong (bodi za kichina) mkuu. Za Dar express ndo wanaita DarCoach. KLM ni Yutong halisi.
 
wanao amini uchawi na waonea huruma wanaoamini uchawi hawa ndio wanaouwa ndgu zao na mpaka kuwakimbia baba zao familia yao kuhama nyumba kila siku .biashara ni akili na mtaji mipango .kama biashara ya mabasi ni huduma nzuri kwa wateja.na kama ajali duniani kote zinatokea poleni sana mnao amini uchawi.
 
nicas mtei na wezio hangaikeni na mipango ya maisha yenu.kula yenyewe mnaonekana taabu halafu unamjadili mtu milionair
 
na maghorofa anaojenga mchina dar mnasemaje na daraja la kigamboni je nalo.watu wengine mawazo mafupi halafu anataka amjadili mtu mwenye mamillioni yake.jadilieni maisha mlo nyumbani watoto wanalia njaa.
 
wewe duni hii sasa ni digital wewe bado uko kwenye majini kweli ndio unao hama kila siku nyuma unakosa maelewano namajirani zako kwa kuaminihivyo.imechelewa
 
xenophobia and the ea federation

by oscar kimanuka

the oxford dictionary defines the term xenophobia as "hatred or fear of foreigners."

there is a new wave of xenophobia that is slowly creeping into the east african region that if not nipped in the bud, could undermine the ongoing efforts at political federation, the much cherished goal of our region.

The timing of this xenophobia is unfortunate. It has come at a time when the leaders of east africa have just launched the fast-tracking of the political federation. What is worrying is that at the official level, not much has come out by way of condemnation of these regrettable acts.

Xenophobia should not just be viewed as a dislike or fear of foreigners. It is a form of violence. People get killed and property destroyed. In recent months, thousands of rwandans have been expelled from tanzania where, as minorities, they have lived in harmony with locals since the 1930s.

This is a time long enough for any foreigner to be accepted as a bona-fide resident. The fact, however, is that the rwandans returned home under harrowing conditions and dirt poor. Stories abound of their mistreatment and loss of property.

A tanzanian friend recently confessed that he could not understand why his countrymen were rushing into a political union, when tanzanians cannot even resolve their union problems with zanzibar.

Unfortunately, he concluded that "it is premature to have political integration among the east african countries."

this contradicts the mood of euphoria among the political elite, who seem to think that the process of political federation is unstoppable.

A tanzanian website, www.habarizatanzania.com , is getting xenophobic in its postings on issues of foreigners in tanzania. Its message is that tanzania is for tanganyikans only.

President jakaya kikwete seems to have discovered early on that some of his people are not so convinced about the political federation project when he recently remarked that "tanzanians have no reason to fear because the current political environment in the world and especially in east africa is different from that which prevailed when the east african community collapsed in 1977."

at a time when the political federation is entering a crucial stage, efforts must be marshalled to neutralise those with xenophobic tendencies in the region.


oscar kimanuka is a commentator on social and economic issues based in kigali. Email: oscar_kim2000@yahoo.co.uk

chezea bank wewee
 
Nampongeza na namuomba sana tena sana aziache kama zilivokuja 2x2. Asije akazibadilisha kama zile marcopolo alivyozifanya 2x3 wakati zilikuja zikiwa 2x2.
 
Back
Top Bottom