Baada ya kimya kingi hatimae Abood Bus Service aleta bus mpya!

Baada ya kimya kingi hatimae Abood Bus Service aleta bus mpya!

Sio kweli.... J.4 Ilikuwa ni Zhong Tong na sio Youtong kama ulivyosema. Pia angalia kwa makini kati ya hizo basi mbili ni ipi ilichakaa zaidi baada ya kugongana. These things does not justify what you have written here.

wote ni wale wale tu hawana tofauti ni sawasawa na pikipiki sun lg na fekon
 
Huyu mluguru mwarabu hana ubavu zaidi ya dar to moro sijuwi kwa nini huogopa masafa marefu
 
Akili yako inamatatizo zoghtong na Youtong ni makampuni ya kutengeneza mabasi na ubora wa mbasi yao unafanana angalia hata ile ajali ya alsaeedy ya dodoma ile Youtong ilivyosambaratika. Mabasi yao yametengenezwa kwa body za plastic.

Sio kweli.... J.4 Ilikuwa ni Zhong Tong na sio Youtong kama ulivyosema. Pia angalia kwa makini kati ya hizo basi mbili ni ipi ilichakaa zaidi baada ya kugongana. These things does not justify what you have written here.
 
mchina kawashika pabaya matajiri wa bongo waliowekeza ktk sector ya usafiri.bye bye marcoplo-scania.tulikupenda sana lakini mchina kakuchukia.
Mkuu hizo zote zina msemo wake wa "nikikua nataka niwe scania"..marcopolo ni issue nyingine interms of quality and durability..
 
Ila dar express huwa anaagiza mabas mapya wa kwanza then zikishachoka unaona kampuni nyingine zinafuata na abood Angechukua benz new model kama ile ya dar express aliyochukua mwaka jana kama sio mwaka juz ilikuwa iko comfortable, TV ziko kama nne kila upande mbili mbili sio kama yutong ziko mbili tu katikati
 
mzee hood wachina walimfuata akaambiwa wana gari za kuuza ulaya mzee akatia timu china wakamuonesha gari daraja la kwanza akawaabia kwa africa hamna gari hii ya kupeleka watoto shule

kaka acha kupotosha jamii mzee hood ajihusishi na mabasi tangu mda kawaachia wanae
 
Huyu mluguru mwarabu hana ubavu zaidi ya dar to moro sijuwi kwa nini huogopa masafa marefu

Masafa marefu kama yapi mkuu, maana Abood anapeleka gari Dar- Mbeya na Dar- Tunduma kila siku, au hizo sio route ndefu
 
Mkuu sio kweli kuwa Abood anafilisika, naona Kikubwa ameangalia abiria wanataka nini, sasa hivi body ya mchina inajiuza kwa abiria + ulaji wa mafuta

mkuu kigezo cha body +ulaji mafuta kinam-favor abiria au mmiliki wa bus?.
 
Akili yako inamatatizo zoghtong na Youtong ni makampuni ya kutengeneza mabasi na ubora wa mbasi yao unafanana angalia hata ile ajali ya alsaeedy ya dodoma ile Youtong ilivyosambaratika. Mabasi yao yametengenezwa kwa body za plastic.

Heri yako wewe mwenye akili timamu ambaye unashindwa kutofautisha Zhong Tong na Youtong..... Endelea kuwa mbunifu hivyo hivyo.
 
Duh hizi yutong na zhotong zitatumaliza Abood naye kafuata mkato? kutoka marcopolo hadi yutong mchina? naisubiri dar express na kilimanjaro nitangaze msiba rasmi...hayo magari ya kichina yakipata ajali ndo utajua nini maana ya mchina! asije akahamia tu kwenye ndege!
 
Abbod ndio anafilisika, Yaani kaporomoka kutoka Scania Marcopolo hadi Yutong

Mkuu mfumo wa biashara una badilika. Katika biashara ukiwa hubadiliki kulingana na wakati mambo yatakugomea tu. In terms of fuel consuption na spare part magari ya Mchina ni afadhari maradufu. Pia hata bei ya mabasi yenyewe ni ndogo compared to Scania, Benz, Volvo, nk. Lakini kumbuka mchina pia anaproduce kulingana na soko husika. Kitu atakachopeleka Marekani sio sawa na atakachopeleka Africa ktk ubora. Actually yanasaidia kwenye barabara nzuri.
 
Back
Top Bottom