captain zulu
Member
- Aug 2, 2014
- 44
- 6
Mkuu sio kweli kuwa Abood anafilisika, naona Kikubwa ameangalia abiria wanataka nini, sasa hivi body ya mchina inajiuza kwa abiria + ulaji wa mafuta
Kweli bro na ndio gari zipo sokoni kwa sasa
Mkuu sio kweli kuwa Abood anafilisika, naona Kikubwa ameangalia abiria wanataka nini, sasa hivi body ya mchina inajiuza kwa abiria + ulaji wa mafuta
Duh hizi yutong na zhotong zitatumaliza Abood naye kafuata mkato? kutoka marcopolo hadi yutong mchina? naisubiri dar express na kilimanjaro nitangaze msiba rasmi...hayo magari ya kichina yakipata ajali ndo utajua nini maana ya mchina! asije akahamia tu kwenye ndege!
siku dar express akinunua yutong itakuwa msiba kwangu..body za yutong ni kama karatasi
Swaiba jaribu kuangalia soko la mabus kwa sasa hayo mabasi ndio yapo sokoni kwa sasa nilijaribu kupitia soko la mabus nikakuta haya sasa sielewi viwanda vingine vipi vinaendelea kutengeneza
Baada ya muda mrefu wa kusuasua hatimae Mzee Mzima ametoka na bus mpya aina ya Yutong.
Hongera sana maana hizi bus watu walishaanza kukaa nazo mbali kutokana na uchakavu , kwa mwendo huu bila shaka soko la Dar- Moro utaendelea kukimbiza
![]()
Nikitaka kwenda na familia yangu kuyashangaa nitayakuta wapi
Nasikia board ni yutong lkn engine siyo za kichina.
Baada ya muda mrefu wa kusuasua hatimae Mzee Mzima ametoka na bus mpya aina ya Yutong.
Hongera sana maana hizi bus watu walishaanza kukaa nazo mbali kutokana na uchakavu , kwa mwendo huu bila shaka soko la Dar- Moro utaendelea kukimbiza
![]()
kwani basi1 ni kiasi ganiii? nina mpango wa kuuza kibanda changu ninune..
Kiko wapi hicho kibanda chako? Kwa uchache inabidi uwe na 250m (insurance inclusive) Mkuu vp kifua chako kinafika hapo?
Naona watu wanawaza kimaskini maskini tu nendeni benki mkakope mfanye biashara acheni umbea eti uchawi hakuna kitu hicho. Kama ni uchawi nendenei na nyie mkautafute, gogogo Abood