Mtali
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 4,060
- 3,499
Hizo ngao si ndizo zilipigwa marufu nyakati fulani na waliokuwa nazo waliamriwa kuzing'oa?
Serlikali imetiwa mfukoni siku nyingi mbona. Jiulize speed governor ziko wapi siku hizi..... Hoehahe ndio watakaofuata sheria.