Baada ya kimya kingi hatimae Abood Bus Service aleta bus mpya!

Baada ya kimya kingi hatimae Abood Bus Service aleta bus mpya!

Halafu siku hizi mabasi makubwa aina ya Volkswagen VW yameanza kuingia Dar.
 
kuna rumour (nasema tena umbea na usinihukumu) kwamba hawa watu kabla au baada ya kununua mabasi lazima moja wapo ya gari zake zipate ajali na watu wafe....!!!!??????

Ni kweli... Aah... Ni kweli.
 
Alivyokuwa na kufuru huyu mwarabu hakawii kuzipeleka misibani zikasafirishe wafiwa hapo mji kasoro bandari
 
Back
Top Bottom