pictureBaada ya muda mrefu wa kusuasua hatimae Mzee Mzima ametoka na bus mpya aina ya Yutong.
Hongera sana maana hizi bus watu walishaanza kukaa nazo mbali kutokana na uchakavu , kwa mwendo huu bila shaka soko la Dar- Moro utaendelea kukimbiza
Baada ya muda mrefu wa kusuasua hatimae Mzee Mzima ametoka na bus mpya aina ya Yutong.

Akina profesa maji mafupi hawataisha.ana mtoto abnormal huyu
Mkuu hebu ukiweza tuwekee hizo Yutong tuzione sasa zina rangi gani km Andare Class.
Picha inafunguka Mkuu, Mod wasaidie kuiweka vizuri ili watu waione vizuri
Haya sasa wananchi mjiandae kutolewa mafakara kama mbuzi na huyu mwarabu. Over
Nikitaka kwenda na familia yangu kuyashangaa nitayakuta wapi
mchina kawashika pabaya matajiri wa bongo waliowekeza ktk sector ya usafiri.bye bye marcoplo-scania.tulikupenda sana lakini mchina kakuchukia.

![]()