Baada ya kimya kingi hatimae Abood Bus Service aleta bus mpya!

Baada ya kimya kingi hatimae Abood Bus Service aleta bus mpya!

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://2.bp.blogspot.com/-Lw0bBIHZaTg/VBPkto06fwI/AAAAAAAAEww/I_8IuUoj0ek/s1600/Abood.jpg[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Kampuni ya mabasi ya Abood yenye maskani Mkoani Morogoro imeingiza Mabasi Mapya na ya kisasa nchini kwa lengo la kutoa huduma za usafiri kaika mikoa mbalimbali ya nchini Tanzania.[/FONT]​

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Mabasi hiyo zaidi 50 Yameishaingia Nchini Tanzania kwa sasa Taratibu za Kutafuta Kibali na Kumalizia uhakiki wake tayari kuanza Kutoa Huduma. Basi hizo ambazo zimetengenezwana kampuni ya YUTONG ni tofauti kabisa na mabasi mengine yaaliyokwisha kuingia Nchini Tanzania ndiyo itakuwa kampuni ya kwanza barani Afrika kuingiza na kutumia aina hii ya mabasi ya YUTONG.Mabasi hayo ambayo yametengenezwa kumudu mazingira na hali ya hewa ya Tanzania kwa ujumla kwa hiyo hayatakuwa na usumbufu na matatizo kama mabasi ya awali ya kampuni hiyo! [FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT][/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://1.bp.blogspot.com/-kCJA1PhTM-s/VBPk_EVpEYI/AAAAAAAAEw4/NoJFc4WT0Yg/s1600/DSC07131.JPG[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://4.bp.blogspot.com/-iNkEjKrvTkE/VBPk_W3FSbI/AAAAAAAAEw8/hxaF8wCLJrQ/s1600/DSC07137.JPG[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://1.bp.blogspot.com/-S5hNFE_fDfU/VBPk_i1jPMI/AAAAAAAAExM/18ax9sN6JQI/s1600/DSC07138.JPG[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://2.bp.blogspot.com/-qWc-Jn4QHhc/VBPmthqgBJI/AAAAAAAAEyA/4hdNjnMuUqU/s1600/_MG_0174.JPG[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://4.bp.blogspot.com/-o-GYWFYkI6w/VBPm4rA277I/AAAAAAAAEyI/ckJP9_criuE/s1600/_MG_0175.JPG[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://3.bp.blogspot.com/-Z1dY5lN-OVM/VBPm9QjICDI/AAAAAAAAEyQ/mDC-wJulN-E/s1600/_MG_0176.JPG[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://4.bp.blogspot.com/-8vLcue4Iqts/VBPnr6Lk8WI/AAAAAAAAEyY/1UEs0O9zWNw/s1600/_MG_0177.JPG[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://3.bp.blogspot.com/-V7mv6aAsDPw/VBPloJTYOCI/AAAAAAAAExg/Rs2SzEUqoIc/s1600/IMG_0224.JPG[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://4.bp.blogspot.com/-mh2uSOi9epk/VBPloiG9LNI/AAAAAAAAExk/Gpwt2EINXpI/s1600/IMG_0225.JPG[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://4.bp.blogspot.com/-wgagwsPc9G0/VBPll-2E21I/AAAAAAAAExY/a-zwXKtsdMc/s1600/IMG_0243.JPG[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://2.bp.blogspot.com/-peM03JIP3Zw/VBPl4DN8aBI/AAAAAAAAExw/_TJIj7k1ZcQ/s1600/IMG_0245.JPG[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://1.bp.blogspot.com/-2aG5Deo1RuE/VBPl8x9maYI/AAAAAAAAEx4/N_SbtmCZzf4/s1600/IMG_0246.JPG[/FONT]​
 
fix hizoo..... yutong ni yutong tu...... by da wei model hyo nshaziona kibao DaG...Daj...... ziko za Shabiby ziko za Al Saedy na ziko za BM

sema tu kama wewe mpambe wa abood ndo unatupa tise hapa.
 
Duh hizi yutong na zhotong zitatumaliza Abood naye kafuata mkato? kutoka marcopolo hadi yutong mchina? naisubiri dar express na kilimanjaro nitangaze msiba rasmi...hayo magari ya kichina yakipata ajali ndo utajua nini maana ya mchina! asije akahamia tu kwenye ndege!

kuna kilimanjaro moja youtong nimeiona mara nyingi sana route ya dar arusha
 
hood naye yuko wapi? nayeye ni bora akaleta Yutong kama hizi, lasivyo mabasi yake yatampiga chini!
 
Kampuni ya mabasi ya Abood yenye maskani Mkoani Morogoro imeingiza Mabasi Mapya na ya kisasa nchini kwa lengo la kutoa huduma za usafiri kaika mikoa mbalimbali ya nchini Tanzania.
​

Mabasi hiyo zaidi 50 Yameishaingia Nchini Tanzania kwa sasa Taratibu za Kutafuta Kibali na Kumalizia uhakiki wake tayari kuanza Kutoa Huduma. Basi hizo ambazo zimetengenezwana kampuni ya YUTONG ni tofauti kabisa na mabasi mengine yaaliyokwisha kuingia Nchini Tanzania ndiyo itakuwa kampuni ya kwanza barani Afrika kuingiza na kutumia aina hii ya mabasi ya YUTONG.Mabasi hayo ambayo yametengenezwa kumudu mazingira na hali ya hewa ya Tanzania kwa ujumla kwa hiyo hayatakuwa na usumbufu na matatizo kama mabasi ya awali ya kampuni hiyo!

​
kweli hizi bus mpyaa,ukitazama bus hizi nyingi hazina site mirrow sa cjui dereva ataonaje au ndo digital zina cctv cameraa mmmmhh haya ngoja 2one
 
Mbona kila tajiri sasa hivi anakimbilia kununua basi za kichina?
MATAJIRI KUMBUKENI ENZI YA SANLG WACHINA SIO WATU WAZURI TUWE MAKINI.
 
hood naye yuko wapi? nayeye ni bora akaleta Yutong kama hizi, lasivyo mabasi yake yatampiga chini!

Hood huyu hapa..amefunga kazi..!!
 

Attachments

  • 1412283854026.jpg
    1412283854026.jpg
    88.3 KB · Views: 577
atuletee ya kisasa kdg yenye hadhi kama RATCO hata kama atapandisha bei kwa VIP
 
Hizi gari ni service tu.... Mbona Superfeo anapiga kazi Dar Songea bila shida na kuna milima ya kutosha kama vile Kitonga,Njombe, Lukumburu etc.....hakuna kulala njiani....

Super Feo anauza gari zake baada ya mwaka, kila siku zinaonekana ni mpya.
 
Nasikia durability yake ni ndogo sana yakianza kuchoka utatamani uyatelekeze porini utembee kwa miguu, kwa wazoefu lina ukweli hilo?

Wanabadillisha injini wanatoa hizo za kichina zilizochoka wanaweka engine used na gearbox ya scania 84 au 94
 
Nazionaga nyingi zimepaki kwenye njia ya kuelekea kwetu Mbezi Salasala,bado hazijaanza kutumika
 
Kampuni ya mabasi ya Abood yenye maskani Mkoani Morogoro imeingiza Mabasi Mapya na ya kisasa nchini kwa lengo la kutoa huduma za usafiri kaika mikoa mbalimbali ya nchini Tanzania.​

Mabasi hiyo zaidi 50 Yameishaingia Nchini Tanzania kwa sasa Taratibu za Kutafuta Kibali na Kumalizia uhakiki wake tayari kuanza Kutoa Huduma. Basi hizo ambazo zimetengenezwana kampuni ya YUTONG ni tofauti kabisa na mabasi mengine yaaliyokwisha kuingia Nchini Tanzania ndiyo itakuwa kampuni ya kwanza barani Afrika kuingiza na kutumia aina hii ya mabasi ya YUTONG.Mabasi hayo ambayo yametengenezwa kumudu mazingira na hali ya hewa ya Tanzania kwa ujumla kwa hiyo hayatakuwa na usumbufu na matatizo kama mabasi ya awali ya kampuni hiyo!

​

Ati basi mpya halafu picha za mabasi ni za mwaka jana 2013!!!!
Mkuu hizo basi zimepitia route ya Afghanistan au vipi?
 
naona scania anavyotolewa kwenye reli, 2020 hakuna scania mpya tutakayoina road

bado scania ni king of the road sababu hayo madubwana yakishachoka wanabadilisha engine wanaweka za scania mfano mzuri gari za mbeya -dar, dar -arusha, dar mwanza michina yote sasa hivi wanaweka engine za scania
 
Kampuni ya mabasi ya Abood yenye maskani Mkoani Morogoro imeingiza Mabasi Mapya na ya kisasa nchini kwa lengo la kutoa huduma za usafiri kaika mikoa mbalimbali ya nchini Tanzania.
​

Mabasi hiyo zaidi 50 Yameishaingia Nchini Tanzania kwa sasa Taratibu za Kutafuta Kibali na Kumalizia uhakiki wake tayari kuanza Kutoa Huduma.

Basi hizo ambazo zimetengenezwana kampuni ya YUTONG ni tofauti kabisa na mabasi mengine yaaliyokwisha kuingia Nchini Tanzania ndiyo itakuwa kampuni ya kwanza barani Afrika kuingiza na kutumia aina hii ya mabasi ya YUTONG
(Hapa zinapigwa ndogondogo tu).

Mabasi hayo ambayo yametengenezwa kumudu mazingira na hali ya hewa ya Tanzania kwa ujumla
kwa hiyo hayatakuwa na usumbufu na matatizo kama mabasi ya awali ya kampuni hiyo,.... Hizi ni mbwembwe, kunaweza kusiwepo matatizo kwenye mabasi katika hali yake ya upya, lakini usumbufu ukabaki kwa wahudumu na hasa madereva ambao baadhi yao wamekuwa na kiburi na kauli mbaya sana kwa abiria,

Mabasi hayo ambayo yametengenezwa kumudu mazingira na hali ya hewa ya Tanzania kwa ujumla kwa hiyo hayatakuwa na usumbufu na matatizo kama mabasi ya awali ya kampuni hiyo,...Labda kama mabasi yatakuja na madereva toka yalikotengenezwa, vinginevyo tutashuhudia usumbufu kama ilivyozoeleka, (mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya)

Ili kuleta tofauti napendekeza yafanyike haya:


  1. Ni vema madereva wakapewa mafunzo ya namna ya kuwasikiliza na kuwajali abiria wakati wote na mahali popote wawapo safarini na kuacha lugha za kejeli na hasa abiria wanapopatwa na hali za dharura safarini.
  2. Ujazaji wa abiria na hasa kwenye ile sehemu ya injini na mlangoni usitishwe kwakuwa si salama hata kidogo na pia itapunguza usumbufu kwa abiria washukao maeneo ya njiani
  3. Mabasi yafanyiwe usafi kila yafikapo mwisho wa safari, nilishuhudia mara kadhaa wahudumu wakimwaga mchanga ndani ya bus ili kuficha matapishi ya abiria waliotapika kutokana na matumbo kuchafuka na kutapika wawapo safarini
  4. Kila bus liwe na sanduku la maoni ili kuwapa abiria nafasi ya kufikisha kero zao kwa mmiliki wa kampuni kutokana na mara kadhaa mawasiliano ya simu kupokelewa na mtu anayeonekana kuwa na ushirika na madereva wazembe na wasumbufu,
  5. Mkurugenzi wa kampuni asikae na kupokea taarifa tu akiwa ofisini, wakati mwingine afanye ukaguzi wa kushitukiza safarini ili kuwasikia abiria wanapenda huduma ziboreshwe kwa kiwango gani (ajue nini abiria wanapenda na nini abiria hawapendi) hali ilivyo kwa sasa ni kama mwenye kampuni anafikiria juu ya makusanyo tu lakini hafikirii ni vipi wateja wake wanaridhika au kutoridhika na huduma za kampuni
  6. More can be added na watumiaji wa usafiri huo...
 
Back
Top Bottom