Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi...a
Makonda hafai, atasababisha CCM ichukiwe kwa majivuno yake
 
Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi

Taarifa zinazorindima katika magrupu ya wanaccm na UVCCM ikiwemo ni kwamba nafasi hii ya Katibu Uenezi na itikadi unaenda kutwaliwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda

nawasilisha
Hii nafasi ya ukatibu muenezi anarudishiwa nape
 
Hakuna cha ajabu kwani zama hizi "wajinga" ndiyo wanapewa shavu.Wenye akili za kutafakari,kuhoji na kujitambua ni adui kwa mamlaka ya uteuzi!
 
Polepole huenda akachuka nafasi ya Dr. Mwakyembe katika baraza la mawaziri na kuwa waziri aliyekaribu na wasanii wa bongo fleva, ili apate nafasi nzuri ya kuzurura nao kwa ukaribu ili kuongeza juhudi za kusifu na kuabudu.

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Umewaza mbali Sana mkuukweli unamjua JIWE VIZURI
 
Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi

Taarifa zinazorindima katika magrupu ya wanaccm na UVCCM ikiwemo ni kwamba nafasi hii ya Katibu Uenezi na itikadi unaenda kutwaliwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda

nawasilisha
Hivi ni lazima kiongozi wa ccm awe Msukuma ?
 
Habari ya wakti huu!!

Sasa njia ni nyeupe kwa Ndugu yetu Bwana Paul kuipata nafasi ya uenezi ndani ya CCM . Yeye ndo anaweza propaganda vizuri . Ni suala la mda na ukizingatia huyu mtoto pendwa wa Mzee hana kazi kwa sasa .

Viva Makonda ,Viva Jiwe.
 
Jamani inamaana Pierre Li Sun li bitter hamumuoni?
Pole yako Lijialikali
 
Back
Top Bottom