Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

Habari ya wakti huu!!

Sasa njia ni nyeupe kwa Ndugu yetu Bwana Paul kuipata nafasi ya uenezi ndani ya CCM . Yeye ndo anaweza propaganda vizuri . Ni suala la mda na ukizingatia huyu mtoto pendwa wa Mzee hana kazi kwa sasa .

Viva Makonda ,Viva Jiwe.
Kwa kauli za zani za katibu wa sisiemu bashiru, naona kama hamkubali.
 
Habari ya wakti huu!!

Sasa njia ni nyeupe kwa Ndugu yetu Bwana Paul kuipata nafasi ya uenezi ndani ya CCM . Yeye ndo anaweza propaganda vizuri . Ni suala la mda na ukizingatia huyu mtoto pendwa wa Mzee hana kazi kwa sasa .

Viva Makonda ,Viva Jiwe.

Ni sahihi kabisa kabisa naunga hoja mkono, but before he speaks before the public he should be audited/reveiwe of what he has to say, and be guided mahala ambapo si pa provocation
 
Baada ya leo Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndg. Humphrey Pole Pole kuteuliwa na Rais Magufuli katika nafasi 10 za Ubunge.

Kutoka kona za Lumumba hapa duru zinasema watu wawili wanapewa nafasi kubwa za kumrithi Pole Pole..

1. Makonda: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

2. Kheri James: Kwa sasa huyu ni Mwenyekiti wa Vijana Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.
 
Baada ya leo Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndg. Humphrey Pole Pole kuteuliwa na Rais Magufuli katika nafasi 10 za ubunge... Kutoka kona za Lumumba hapa duru zinasema watu wawili wanapewa nafasi kubwa za kumrithi Pole Pole..

1. Makonda ..... Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

2. Kheri James ...... Kwa sasa huyu ni Mkt wa Vijana Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.
Kheri anaweza maana anajua kuupepeta
 
GOGOKI2014 kasemaje?
 
Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi

Taarifa zinazorindima katika magrupu ya wanaccm na UVCCM ikiwemo ni kwamba nafasi hii ya Katibu Uenezi na itikadi unaenda kutwaliwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda

Nawasilisha
Hilo haliwezi kutokea
 
Mbona yeye ni Rais na ni mwenyekiti wa chama. Elewa kile ni cheo Cha chama na ubunge ni cheo cha serikali.
 
Polepole huenda akachuka nafasi ya Dr. Mwakyembe katika baraza la mawaziri na kuwa waziri aliyekaribu na wasanii wa bongo fleva, ili apate nafasi nzuri ya kuzurura nao kwa ukaribu ili kuongeza juhudi za kusifu na kuabudu.

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom