mikoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nani arithi nini JF.. Nani arithi mikoba ya nani JF?

    Time is "makangability" (Time is making ability) Waswahel wanasema WAKATI UKUTA na Jr anasema WAKATI SI MILELE Kuna udumavu mkubwa kwa wakongwe.. Age go.. Natumai udumavu huo ni huku tu JF na si mpaka pale kwenye pepo ya dunia😭 Wahenga walisema.. Fainali uzeeni... Ujana maji ya moto... Sasa...
  2. PSEUDOPODIA

    JamiiForums Tanzania Nendeni Kilimanjaro International Leather Industry (KLICL) pale magereza moshi mkanunue mikoba original ya ngozi, acheni kuchezea pesa za watanzania

    Unaenda kununua mkoba wa milioni 13 wakati mna kiwanda kinatengeneza mikoba ya ngozi original pale moshi. Unapata mkoba safi wa ngozi hapo hapo unatangaza bidhaa za nchi yako. Hivi huko vyuoni mnaendaga kusoma nini?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mirambo arithi mikoba ya Profesa Lipumba CUF

    Aliyekuwa mwenyekiti wa uchaguzi huo, Said Miraji akitangaza matokeo leo Februari 22, 2026. Wajumbe wa mkutano mkuu wa dharura wa Chama cha Wananchi (CUF) wamemchagua Mirambo Camil Yusuf kuwa Mwenyekiti wa chama hicho akichukua nafasi iliyoshikiliwa na Profesa Ibrahim Lipumba tangu mwaka 1999...
  4. Mangwea1900

    JamiiForums Tanzania Nimepata mke wa tano sasa lakini naambiwa siwezi kumuoa hadi akabidhiwe mikoba ya uganga

    Naomba kuja kwenu waungwana na wananzengo kutokana na kugagasika na tàarifa ya kupokea mikoba. Nimepata mke wa tano sasa lakini naambiwa siwezi kumuoa hadi akabidhiwe mikoba ya uganga. 1. Naomba kujua mikoba ya uganga ni nini? 2. Mikoba ya uganga inahusisha vitu gani? 3. Mikoba ya uganga...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Izz al-Din al-Haddad achukua mikoba ya Marehemu Gaidi Mohamed Sinwar

    Kufuatia IDF kumuangamiza Mohammed Sinwar, Izz al-Din al-Haddad (pichani) amechukua uongozi wa tawi la kijeshi la Hamas. Israeli sasa hivi inamfatilia kwa nguvu zote ili imewaangamiza!! Al-Haddad (55) anaidhibiti Hamas katika Ukanda wa Gaza, na kwa mujibu wa vyanzo vya kijasusi, mtu huyo...
  6. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Leo tena na The last Man Tanzania kurithi mikoba ya Roma

    Roma, kasaliti chama Nay wa mitego sasa hivi anasifia ngono. Haya Leo nimewaletea kazi mpya ya mrithi wa Roma tu. MpokeeTanganyika gusa ilo neno Tanganyika
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Pochi na mikoba ya mbao

  8. B'REAL

    JamiiForums Tanzania Nauza ladies shoes na mikoba

    Karibuni sana nauza viatu vya kikikee,handbags....wallet,nai nai na pochi za.mtumbaaq grade one.tunapatikana mkwajuni dar es salaam.mkoani pia tuna tumaa
  9. Cholowao

    JamiiForums Tanzania Mama Akiondoka, yupo atakayerithi mikoba yake?

    Mama Samia: Kiongozi wa Maendeleo, Je, Atakuwepo Mwingine Kama Yeye? Nimekaa nikatafakari kwa kina kazi nzuri anazofanya Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan. Kwa muda wake madarakani, tumeona maendeleo makubwa katika sekta mbalimbali kama elimu, afya, na uchumi. Hospitali mpya zimejengwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa hapa nchini hakuna kiungo fundi wa mpira kumzidi Gerson Gwalala wa Coastal Union

    Anaitwa Greyson sijui Grayson Gwalala kiungo mkatashombo wa Coastal Union ya Tanga, jana amekuwa man of the match kwenye mechi dhidi ys Singida Big Stars yenye viungo wa kimataifa waliooonyesha ufundi wa hali ya juu wakati wa mechi dhidi ya Yanga, dogo huyu wala hastahili kukosa national team...
  11. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda - hisia zetu ni kutaka sasa urithi mikoba ya Ndungulile (Ubunge)

    Sisi tunakuombea Tutakusapoti Tutakulinda
  12. S

    JamiiForums Tanzania Namuona Amos Makalla akichua mikoba ya Makonda na John Mongela akichukua nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Anamringi Macha!

    Baada ya mabadiliko ya Mwenezi ndani ya chama cha Mapinduzi kuna kila dalili ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kurithi mikoba ya Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha! Pia aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongela kuna kila dalili ya kujaza nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chimbo la mikoba ,nguo za kike na high heels ni lipi?

    Wasalaam wadau, Naomba kufahamishwa chimbo la vitu nilivyoelekezwa hapo juu na mtaji wa kuanzia ikiwezekana. Nahitaji kufungua duka huku DODOMA Ili angalau kamkono kaende kinywan maana changamoto za maisha zinataka mapambano. Nitafurahi mkinipa mwanga ,mtaji, chimbo na hata maelekezo maana...
  14. Soph09

    JamiiForums Tanzania Mikoba mizuri ya kuwekea documents na laptop

    Nauza mkoba wa kuwekea documents na laptop. Umetemgenezwa na material safi na ndani una sponji nyepesi ambayo haivunji PC Yako na haiingizi maji kabisa. Bei ni 40000tshs Nipo Dar derivery ipo ndani ya Dar na mikoani na nchi jirani ninatuma kwa uaminifu mkubwa Mawasiliano :0628935034
  15. J

    JamiiForums Tanzania CCM yafanya Uteuzi wa Viongozi wa Sekretarieti ya Taifa Chongolo Katibu Mkuu Sophia Mjema Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi akichukua mikoba ya Shaka

    HII HAPA TAARIFA RASMI TOKA CHAMA CHA MAPINDUZI ( CCM )
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Barcelona inamtaka Jorginho akabebe mikoba ya Sergio Busquets

    Klabu ya Barcelona inadaiwa kuwa ipo kwenye mipango ya kufanya mazungumzo ya usajili wa kiungo wa Chelsea, Jorginho kwa ajili ya kumsajili katika dirisha la Januari, 2023. Kocha wa Barcelona, Xavi anahitaji mtu anayeweza kuziba nafasi ya Sergio Busquets mwenye umri wa miaka 34 ambaye anaelekea...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Mandonga anastahili kurithi mikoba ya Haji Manara na kuwa msemaji rasmi wa klabu ya Yanga

    MANDONGA ANASTAHILI KURITHI MIKOBA YA HAJI MANARA NA KUWA MSEMAJI RASMI WA KLABU YA YANGA Apoteza pambano lakini anafaa kuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga kwani anao weledi mkubwa wa kujieleza, ucheshi, uhamasishaji, kutokata tamaa & anakubalika sana na Watanzania wengi! Twende na Mandonga...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina, mmoja wa Wana CCM waliochukizwa Samia kuwa Rais, awaita Mawaziri awamu ya 6 matapeli

    Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais. Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania DAR: Wanaomtumia dada mwenye ujauzito feki kupora bodaboda wanaswa na Polisi

    Jeshi la Polisi limefanikiwa kumkamata Sophia Musa (28), mkazi wa Toangoma ambaye ndiye mpokea maombi ya kutengeneza kadi toka kwa boko na baadae kumpelekea Ibrahimu Ally (31) mkazi wa Buguruni ambaye hufanya kazi ya kudurufu kadi hizo za Pikipiki. Katika katika upekuzi watuhumiwa hao wamekutwa...
  20. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Wadhamini Chelsea FC yasita kubeba mikoba ya bilionea Roman Abramovich

    Wajumbe wa Bodi ya Udhamini wa Klabu ya Chelsea, bado hawajakubali maombi ya bilionea na mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich kuhusu kukabidhiwa majukumu ya kuiongoza timu huku yeye akibaki kuwa mmiliki. Inaelezwa kuwa wajumbe saba akiwemo Kocha wa Chelsea ya Wanawake, Emma Hayes...
Back
Top Bottom