Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,112
- 13,051
yes, this is obvious!Atheists ni moja ya kazi ya Shetani wasiamini Mungu yupo, ili aendelee kuwatumia apendavyo.
yes, this is obvious!Atheists ni moja ya kazi ya Shetani wasiamini Mungu yupo, ili aendelee kuwatumia apendavyo.
Mateso tunayoyapata duniani kuanzia vita, magonjwa ni zaidi ya huo moto.Twin umeshawahi kujiuliza what if vitabu vya dini viko sawa? Kama sisi waumini tukifa tukakuta hakuna kitu, hatujapoteza kitu. Lakini wewe ukifa ukakuta yule Mungu wa Biblia na Qur'an yupo na moto wake upo vilevile, nani atakuwa kwenye kasheshe kubwa zaidi?
Hata bila vipimo uwepo wa mungu (Abrahamic God) unaonekena hauwezekani kwa sababu ya "contradictions". Mfano anasemwa ni mwema na mwenye nguvu zote lakini ameumba au ameruhusu ulimwengu wenye mateso, magonjwa, vifo, ajali na majanga.Unaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi.
Kwa nini?
Kwa sababu Imani na Sayansi ni maarifa mawili yanayoshughulikia "Ukweli" mmoja kwa njia mbili tofauti.
Sayansi inatumia "vipimo". Inaeleza kwa jinsi gani. Imani inatumia "ufunuo wa Mungu". Inaeleza kwa nini.
Jambo lililo wazi kuhusu sayansi ni kwamba inatusaidia kuelewa kwa undani jinsi ulimwengu unavyofanya kazi na ulivyotokea.
Pia sayansi ni maarifa yanayoweza kusahihishwa. Kwa nini? Kwa sababu ni maarifa yanayokua na kuendelea. Jambo lililojulikana kuwa liko hivi linaweza kubatilishwa kuwa halikuwa kweli ukipatikana uthibitisho mwingine bora zaidi.
Kitu muhimu ambacho hatupaswi kuchanganya kati ya Imani na Sayansi ni kuwa:-
Sayansi inamesema "Kama hatuwezi kupima kitu au jambo basi kitu au jambo hilo halipo."
Hapa kuna vitu viwili.
1. Ukweli. Ukweli hautegemei kipimo au kuwepo kwa kipimo ili uwepo. Ukweli upo daima. Ni jinsi mambo yalivyo.
2. Kipimo. Hapa tunazungumzia maarifa. Leo sayansi haiwezi kipima vitu vingine kwa sababu maarifa ya hivyo vipimo hayajapatikana. Mfano hatuwezi kusafiri kwenda kwenye galaxy nyingine nje ya galaxy yetu kwasababu hatuma kifaa cha kutufikisha huko kwa sasa.
Kadiri ya sayansi mwili ukisha kufa maisha ya mtu yameisha. Kwa sayansi ni sahihi kwa sababu sayansi hadi sasa ina vifaa vya kupima mwili tu haina vifaa vya kupima roho.
Kwa hiyo kwa sayansi maisha ni mwili tu sio roho. Sio roho kwa sababu hakuna kifaa au kipimo cha kupima roho.
Swali hapa si kifaa au hatuna kipimo cha kupima roho. Swali ni Ukweli? Roho ipo au roho haipo?
Hakuna binadamu alieumbwaAlie muumba anamuhusu yeye. Mimi anae ni husu ni huyu alieniumba
Hamna shetaniAtheists ni moja ya kazi ya Shetani wasiamini Mungu yupo, ili aendelee kuwatumia apendavyo.
Ila wewe Mungu wako si amekupa amri kuwa usiibe, unapata nguvu ipi kuhalalisha kuwa kudhulumiwa sio kosaPole sana kwa matatizo, iHiyo hali ya kujisikia vibaya, kuona umeonewa, na kuona kudhulumiwa ni makosa, mnaipata wapi nyinyi ma-atheist?
Kwenye ulimwengu wa evolution na u-atheist, hakuna kitu kinaitwa dhuluma au wizi. Kuna mwenye nguvu kumyang'anya mnyonge.
Kujisikia kwako vibaya baada ya kufanyiwa hivyo kunathibitisha kuna sheria ya Mungu ya kimaadili iliyopo ndani ya moyo wako, hivyo yani.
Kwamba wale watu wanaoenda Kwa MWAMPOSA Kununua udongo Ili wapate Fedha na kupona magonjwa ni watimilifu wa akili kuliko atheist anaehoji uwepo wa Mungu.Kwa mfano kama Kiranga, nimekuja kujua anatatizo la afya ya akili shortly baada ya kuwasiliana nae ila akienda mental health clinic anakuwa sawa
Hii ishu kwa sasa ni kubwa , imagine unaendeshwa na pilot ambae ni Msomi ila ana afya ya akili —- hope mnakumbuka ishu ya German airwings
Unajua kwenye diagnosis ya mental issues kuna kitu kinaitwa treatment symptomatic….
Most of the atheist wana excessive characters ambazo zimeenda ku damage the foreside of their brains 🧠
Excessive characters ni aidha awe na much know and complicated life chain over the truth about life , space and time, religion and faith
Ukisoma big bang theory ambayo ilianzishwa na George Lamaitre Ambae alikuwa ni Priest … historically jamaa alishapata mental issue na afya ya akili …. The whole thing of big bang theory ni mental issue over excessive character ya kutaka kujua how things really happened na excessive characters za kukosa majibu of how things happened
Hii haina tofauti na watu wanaopenda dini wengi pia ni mental cases just as kiranga is ; kwa mfano wapo watu wanaweza kukuua kwa kuwa wewe umemtukana Muhammad, wapo watu wanaweza kukuchukia na kukutenga just because Qur an imesema kafir ni adui yako na hatokupenda hadi uingie kwenye ukafiri- so unamchukia mtu kwa mambo kama haya hiyo ni dalili ya afya ya akili over excessive character you can even kill people au kujilipua believing that unaenda peponi
Same as Christian , kuna watu wanaenda kwa wachungaji kama mwamposa na kutoa hela ili kuombewa na kupewa mafuta ya upako …. Hilo ni tatizo la afya ya akili over excessive character ya Imani
Haina tofauti na wala wanaopeleka kuku kwa mganga huku wao wanakula majani
Atheist wana afya ya akili most of them
someni kwa makini comments za Kiranga , tatizo lililomuqthiri bila kujua kiasi kwamba yupo tayari in a very complicated life chain ambayo probably yeye mwenyewe hajui alifikaje huko ,
kiasi kwamba utashi wake upo very compromised na ameshatoka kwenye reality ya maisha …. He neeeds mental rehabs to stabilize brains neurons
Imagine , yupo tayari kupiga watu vibao akioneshwa dharau, pia anaamini unapombishia unamshusha hadhi yake , this is pure mental issue maana binadamu wote wana hadhi sawa ya kula kunywa kunya kuumwa na kufa , sasa yeye anatafauti gani na wengine : excessive character imemfanya aone yeye ni tofauti — Afya ya akili ni Tatizo kubwa kwa sasa
Ukiwa unawasiliana na atheist pay attention , most of their books zimeandikwa na mental issue authors ambao walijiuliza vitu na kujijibu wenyewe over thinking
Wanasayansi wanamtambua mungu yupi? Jehovah, Allah, Brahma au Pangu ?Labda wewe haujui sayansi ....mungu anaelezeka vizuri zaidi kisayansi kuliko kidini ...tat8zo lenu nyinyi ni kutokujua sayansi imefikia wapi kwenye kutambua usepo wa NGUVU UMBAJI AMBAYO NDIYO MUNGU...SAYANSI NDIYO USHAHIDI MKUU WA UWEPO WA MUNGU ...HUYO KIRANGA ALIKIMBIA HOJA NA KUNI BLOCK BAADA YA KUMUONYESHA JINSI SAYANSI NA WANASAYANSI WANAVYO MTAMBUA MUNGU KISAYANSI ...HAKUNA MWANA SAYANSI TIMAMU NA HALISI ANAYE SEMA KWA SASA KUWA HAKUNA MUNGU ULIMWENGUNI ...TENA KISAYANSI VITU VYOTE VIPO NDANI YA MUNGU ....
Soma kitabu kinaitwa God is not great by Christopher Hitchens, utapata akili kidogoUkimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".
Muulize tena " Kama hujawahi kumuona alie tengeneza kitanda unatumia vigezo kusema kimetengenezwa na mtu? Atakujibu " Kwa kutumia tu common sense haiwezekani kitanda kama hiki ambacho ni mashine ( simple machine) kiwe kimetokea ti chenyewe bila kutengenezwa.. "
At the same time anasema " Mwanadamu ametokea tu mwenyewe bila chanzo".
How comes kitanda ambacho ni " Simple machine" kiwe kimetengenezwa, halafu huyu mwanadamu ambae ni " Complex machine" awe ametokea tu kwa bahati?
Wazo la namna hii haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mtu mwenye akili timamu. Something must be missing in his head.
Anazidiwa akili hata na mtoto wa miaka mitatu. Watoto karibu wote duniani at that age huwa wanawauliza wazazi at that age huwa wanawauliza wazazi wao " Mama hivi mimi mlinitoaga wapi? ".
Tayari akili yake imesha pata ukomavu wa kujua kwamba lazima atakuwa ametolewa sehemu..
Hata kwa kutumia common sense au a " Probability Test" ni ngumu sana kwa akili ya mwanadamu ambayo inawaza sawa sawa ku conclude kwamba ametokea tu..
" The probability of human being to have been created by a higher power is 99% percent "..
Atheists ni wagonjwa wa akili 🔴
Unamuita mtu alieumbwa Kwa mfano wa huyo Mungu wako muweza wa yote kichwa ngumu. Mtu alieumbwa Kwa mfano wa Mungu kichwa ngumu.Hujui kusoma kwa ufahamu wewe, nimeshakujibu hili bado una rudia kuuliza kitu kile kile.
Unarudia neno kabla ya muda, wewe kichwa ngumu elewa kabla ni kipimo cha muda! Huwezi kuuliza nini kilikuwepo kabla ya muda kuanza, kwa sababu neno kabla halina maana kule ambako muda haupo.
Yani unaitafuta jana kabla ya muda haujaumbwa, make it make sense? Jifunze kusoma kwa ufahamu kwanza.
Nao walizaliwa na wazazi wao.tunataka kujua wale wazazi wa kwanza walitokea tu? Wakawa wazazi au walitoka wap?
Pia mungu hawi hayupo kwa sababu hakuna evidence....kuna vitu vingi vimegundulika kisayansi ila siyo kwamba vimeanza kuwepo baada ya kugundulika la ..niliwaambia kina kiranga hapa jf kuwa sayandi is reverse engeenier or reverse knowledge of God creation..vitu vyote vilivyo gunduliwa kisayansi vilikuwepo kabla hata ya wanasayansi kuvigundua ...NA MUNGU NI HIVYO HIVYO.Mwanasayansi kusema Mungu yupo haimaanishi Mungu yupo bila evidence.
Hilo swali linatokana na wewe kushindwa kujua mungu ni nini ? Mungu ni nguvu za asili zenye akili na ufahamu zilixo umba vitu vyote ....na wanasayansi wanakubali kuwa nguvu za asili ndiyo chanzo cha vitu vyote ..ila wanacho jaribu kukanusha au kuficha ni kuhusu kuwa nguvu hizo za asili zina akili na ufahamu wao wanadai kuwa nguvu za asili ziliumba vitu kwa bahati tu ..jambo ambalo kamwe aliwezi kuwa sahihi kisayansi kwa sababu ukitazama hata kiumbe kama binadamu kimeumbwa kwa akili na ufahamu wa hali ya juu kabisa siyo kibahati ....Wanasayansi wanamtambua mungu yupi? Jehovah, Allah, Brahma au Pangu ?
Kuna Miungu zaidi ya 10,000 duniani , Je ni Mungu yupi anaeelezeka kisayansi?Labda wewe haujui sayansi ....mungu anaelezeka vizuri zaidi kisayansi kuliko kidini ...tat8zo lenu nyinyi ni kutokujua sayansi imefikia wapi kwenye kutambua usepo wa NGUVU UMBAJI AMBAYO NDIYO MUNGU...SAYANSI NDIYO USHAHIDI MKUU WA UWEPO WA MUNGU ...HUYO KIRANGA ALIKIMBIA HOJA NA KUNI BLOCK BAADA YA KUMUONYESHA JINSI SAYANSI NA WANASAYANSI WANAVYO MTAMBUA MUNGU KISAYANSI ...HAKUNA MWANA SAYANSI TIMAMU NA HALISI ANAYE SEMA KWA SASA KUWA HAKUNA MUNGU ULIMWENGUNI ...TENA KISAYANSI VITU VYOTE VIPO NDANI YA MUNGU ....
Chanzo cha huyo mungu ni nini/kipi ?Hilo swali linatokana na wewe kushindwa kujua mungu ni nini ? Mungu ni nguvu za asili zenye akili na ufahamu zilixo umba vitu vyote ....na wanasayansi wanakubali kuwa nguvu za asili ndiyo chanzo cha vitu vyote ..ila wanacho jaribu kukanusha au kuficha ni kuhusu kuwa nguvu hizo za asili zina akili na ufahamu wao wanadai kuwa nguvu za asili ziliumba vitu kwa bahati tu ..jambo ambalo kamwe aliwezi kuwa sahihi kisayansi kwa sababu ukitazama hata kiumbe kama binadamu kimeumbwa kwa akili na ufahamu wa hali ya juu kabisa siyo kibahati ....
kila mtu haamini anavyoaminiNao walizaliwa na wazazi wao.
Bibi yako na baby yako walisex wakatikana wazazi wako.
Same process happened
Hapa tunazungumzia mungu yupo au la ! Mfano kuna swali na watu wakaja na majibu mengi kwenye swali moja ..hii aina maana kuwa hilo swali halina jibu la...bali ni watu waliokuja na majibu mengi ila jibu lipo ...hivyo Mungu muumba wa yote yupo ila ni Mungu yupi,? hapo ndiyo kunakuja itikadi za dini.Kuna Miungu zaidi ya 10,000 duniani , Je ni Mungu yupi anaeelezeka kisayansi?
Kwa mfano Mungu wa Islam na Mungu wa ukristo !
Usichanganye mystery na evidence. Kitu kuwa hakijaelezeka hakumfanyi Mungu kuwa explanation. Kama hatujui kwa nini kitu fulani kipo, jibu la kwanza la kimantiki ni “hatujui bado,” si “kwa hiyo Mungu ndiye aliyekifanya.” Vinginevyo kila pengo katika knowledge yetu lingekuwa ushahidi wa Mungu, na kila tunapogundua explanation mpya Mungu angekuwa anasukumwa hatua moja nyuma. Hii ndiyo tatizo la God of the gaps: unatumia kile ambacho bado hatujui kama ushahidi wa kile unachokiamini. Lakini unknown ni unknown. Hauwezi kuipa jina la Mungu halafu ukadai umeupata ukweli.Hapa tunazungumzia mungu yupo au la ! Mfano kuna swali na watu wakaja na majibu mengi kwenye swali moja ..hii aina maana kuwa hilo swali halina jibu la...bali ni watu waliokuja na majibu mengi ila jibu lipo ...hivyo Mungu muumba wa yote yupo ila ni Mungu yupi,? hapo ndiyo kunakuja itikadi za dini.