Natty Bongoman
JF-Expert Member
- Oct 10, 2008
- 648
- 375
SIO COMMON ANCENSTRY ... wengi duniani hatuna neanderthal DNA. Aongelee wazungu tu na wenzao walochanganyana.Nilikuwa sijaona hii comment yako,
Tukumbushane tu wewe ulisema tumeumbwa na Mungu, lakini unatumia Neanderthal DNA kupinga wazo la Darwinism kuhusu common ancestry Ambayo sisi tunaisapot kama Moja ya vyanzo vya binadamu.
Sasa tukubaliane kwenye jambo moja......Neanderthal DNA si ushahidi kwamba Wazungu walitoka kwa masokwe.
Neanderthals hawakuwa sokwe wa leo..... walikuwa population ya kale iliyohusiana na Homo sapiens, na kulikuwa na gene flow kati yao na baadhi ya Homo sapiens.
kwa nini Neanderthal DNA iwe challenged kwa evolution? Kwa mtazamo wa evolution, hiyo DNA ndiyo moja ya evidence ya historia ya mchanganyiko kati ya populations za kale.
Kama unakataa evolution, sawa. Lakini onyesha ni wapi evidence hiyo inapingana na evolution. Kusema Wazungu wana Neanderthal DNA, kwa hiyo wametoka kwa masokwe ni tafsiri ambayo evolution yenyewe haisemi. Unaleta mameko yako.
Usipinge Darwinism kwa version ya sokwe, Pinga common ancestry yenyewe, na uonyeshe kwa nini evidence yake haikubaliki.
Mambo ya Homo Sapiens kuja kuwa homo habilis ni pumba tu