Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,148
- 12,166
Kwa mfano kama Kiranga, nimekuja kujua anatatizo la afya ya akili shortly baada ya kuwasiliana nae ila akienda mental health clinic anakuwa sawaUkimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au umewahi kumuona au ulimuona wakati anakitengeneza? .. Atakwambia " Sijawahi kumuona".
Muulize tena " Kama hujawahi kumuona alie tengeneza kitanda unatumia vigezo kusema kimetengenezwa na mtu? Atakujibu " Kwa kutumia tu common sense haiwezekani kitanda kama hiki ambacho ni mashine ( simple machine) kiwe kimetokea ti chenyewe bila kutengenezwa.. "
At the same time anasema " Mwanadamu ametokea tu mwenyewe bila chanzo".
How comes kitanda ambacho ni " Simple machine" kiwe kimetengenezwa, halafu huyu mwanadamu ambae ni " Complex machine" awe ametokea tu kwa bahati?
Wazo la namna hii haliwezi kukaa kwenye kichwa cha mtu mwenye akili timamu. Something must be missing in his head.
Anazidiwa akili hata na mtoto wa miaka mitatu. Watoto karibu wote duniani at that age huwa wanawauliza wazazi at that age huwa wanawauliza wazazi wao " Mama hivi mimi mlinitoaga wapi? ".
Tayari akili yake imesha pata ukomavu wa kujua kwamba lazima atakuwa ametolewa sehemu..
Hata kwa kutumia common sense au a " Probability Test" ni ngumu sana kwa akili ya mwanadamu ambayo inawaza sawa sawa ku conclude kwamba ametokea tu..
" The probability of human being to have been created by a higher power is 99% percent "..
Atheists ni wagonjwa wa akili 🔴
Hii ishu kwa sasa ni kubwa , imagine unaendeshwa na pilot ambae ni Msomi ila ana afya ya akili —- hope mnakumbuka ishu ya German airwings
Unajua kwenye diagnosis ya mental issues kuna kitu kinaitwa treatment symptomatic….
Most of the atheist wana excessive characters ambazo zimeenda ku damage the foreside of their brains 🧠
Excessive characters ni aidha awe na much know and complicated life chain over the truth about life , space and time, religion and faith
Ukisoma big bang theory ambayo ilianzishwa na George Lamaitre Ambae alikuwa ni Priest … historically jamaa alishapata mental issue na afya ya akili …. The whole thing of big bang theory ni mental issue over excessive character ya kutaka kujua how things really happened na excessive characters za kukosa majibu of how things happened
Hii haina tofauti na watu wanaopenda dini wengi pia ni mental cases just as kiranga is ; kwa mfano wapo watu wanaweza kukuua kwa kuwa wewe umemtukana Muhammad, wapo watu wanaweza kukuchukia na kukutenga just because Qur an imesema kafir ni adui yako na hatokupenda hadi uingie kwenye ukafiri- so unamchukia mtu kwa mambo kama haya hiyo ni dalili ya afya ya akili over excessive character you can even kill people au kujilipua believing that unaenda peponi
Same as Christian , kuna watu wanaenda kwa wachungaji kama mwamposa na kutoa hela ili kuombewa na kupewa mafuta ya upako …. Hilo ni tatizo la afya ya akili over excessive character ya Imani
Haina tofauti na wala wanaopeleka kuku kwa mganga huku wao wanakula majani
Atheist wana afya ya akili most of them
someni kwa makini comments za Kiranga , tatizo lililomuqthiri bila kujua kiasi kwamba yupo tayari in a very complicated life chain ambayo probably yeye mwenyewe hajui alifikaje huko ,
kiasi kwamba utashi wake upo very compromised na ameshatoka kwenye reality ya maisha …. He neeeds mental rehabs to stabilize brains neurons
Imagine , yupo tayari kupiga watu vibao akioneshwa dharau, pia anaamini unapombishia unamshusha hadhi yake , this is pure mental issue maana binadamu wote wana hadhi sawa ya kula kunywa kunya kuumwa na kufa , sasa yeye anatafauti gani na wengine : excessive character imemfanya aone yeye ni tofauti — Afya ya akili ni Tatizo kubwa kwa sasa
Ukiwa unawasiliana na atheist pay attention , most of their books zimeandikwa na mental issue authors ambao walijiuliza vitu na kujijibu wenyewe over thinking