OMKEIT 93
JF-Expert Member
- May 12, 2026
- 287
- 424
Naona umepaniki sana bwashee pole sanaš jalibu kutumia bongo vzr!!!Pole kampelekee Bibi yako.
Naona umepaniki sana bwashee pole sanaš jalibu kutumia bongo vzr!!!Pole kampelekee Bibi yako.
jalibu āļøNaona umepaniki sana bwashee pole sanaš jalibu kutumia bongo vzr!!!
Unaweza kuwa hodari wa kuandika vizuri lakini ukawa Hauna uwezo wa kufikili kiundani pole sana bwasheejalibu āļø
Jaribuā ļø
Wewe hata matumizi ya "R" na "L" hujui.
Wewe kichwa maji, Huko shuleni ndio ulienda kusomea ujinga.
Hata matumizi ya "r" na "l " yanakushinda.
Find someone of your league to parallel your mediocrity.
Paley na mfano wa saa anaongea "Muundo na Mpangilio wa Ulimwengu". Haongei kuhusu watengenezaji wangapiKuna mwanafalsafa wa miaka ya 1770s anaitwa Paley ndio aliyeanzisha hii hoja ya teleological.
Yeye alitumia mfano wa saa.
Yeye alisema "ukienda beach ukawa unatembea fukweni halafu ukaokota saa, basi ni lazima utasema tu kuwa ile saa imetengenezwa na kuna mtu aliyeileta hapo"
Then kupitia mfano huo akaja kuhusianisha na ulimwengu na dhana ya Mungu katika uhusika wa kuumba huo ulimwengu.
Kwasababu saa imelazimika kuwa na muundaji wake, je hiyo inafanya na ulimwengu kuhitaji muumbaji?
Aliyekuta saa fukweni, akiendelea na matembezi yake akaokota mwamvuli je utafikiria kuwa aliyetengeneza saa ndio aliyetengeneza mwamvuli?
Huyo mtu akaendelea na matembezi akakuta midoli, je atafikiria kuwa aliyetengeneza saa na mwamvuli ndio huyo huyo aliyetengeneza na huo mwamvuli?
Je hii haiwezi kuhusisha watengenezaji wengi tofauti?
Je hii haiwezi kuhusisha watengenezaji wengi tofauti tofauti wa ulimwengu kuwa wamewajibika kwa kila kilichoumbwa?
KufikiliāļøUnaweza kuwa hodari wa kuandika vizuri lakini ukawa Hauna uwezo wa KUFIKILI kiundani pole sana bwashee
Sawa bwashee pole sana šKufikiliāļø
Kufikiriā ļø
Unazidi kudhihirisha ulivyo juha, usiyejua matumizi ya "r" na "l".
Category mistake ya kiwango cha juu! Unataka sayansi ipime uwepo wa Mungu?Sayansi inafundisha kukubali jibu lililopitia uchunguzi unao pimika.
Ndio maana tuna wana sayansi wanaoamini Mungu lakini hatuna Sayansi inayokubali dhana ya Mungu.
Wewe kumuweka Mungu kama chanzo cha kwanza si uthibitisho wa kumfanya awepo, hiyo ni personal choice ambayo haikufanyi uwe tofauti na mwingine anayesema Unicorn wapo.
Kitachoweza kukutenganisha wewe na huyo mwingine, sio mkusanyiko wa makaratasi yaliyopewa jina Biblia.
Ni uthibitisho usioacha shaka unaoonesha huyo uliyemuweka kama chanzo cha kwanzo ni kweli yupo.
Umewahi kusikia kitu kinaitwa cosmic microwave background radiation au sheria ya hubble's law ya upanuzi wa ulimwengu? Au hauna uelewa wowote na haya mambo?Kwanza hakuna sheria ya mantiki ya kisayansi inayosema hivyo, hiyo ni theological argument tu.
Hakuna uthibitisho ulimwengu kuwa na chanzo.
Hata kama ulimwengu ungekuwa na mwanzo hakuna uthibitisho ungehitaji chanzo.
Hata kama kuna chanzo hakuna uthibitisho hicho chanzo ni mungu.
Pia cause sio sawa na creator
Kakojoe ulale.Sawa bwashee pole sana š
Hakufanya hivyo kwa kupendaHuyo alikimbiaga na kuni block
Pole sanaKakojoe ulale.
Acha mbwembwe, andika hizo Sheria zako zote na uonyeshe zinathibitishaje uwepo wa mungu.Umewahi kusikia kitu kinaitwa cosmic microwave background radiation au sheria ya hubble's law ya upanuzi wa ulimwengu? Au hauna uelewa wowote na haya mambo?
Mimi ni miongoni mwa watu ambao hawana hofu ya kifo kwa sababu kuna jehanam sijui motoni au peponi.š¤£š¤£š¤£ Mbona unajiwahi mkuu? Anyways, sometimes uoga/ hofu, ndio akili. Nimekukubali sana mkuu
Haya ulioandika ni kadiri ya nani/nini? Sayansi? Imani/falsafa? Wewe mwenyewe?Ulimwengu umekuwepo milele.
Ulimwengu haujawahi kutokuwepo.
The universe didn't begin to exist.
Ulimwengu umekuwepo, upo na utaendelea kuwepo.
Hauhitaji chanzo.
šš Sidhan kama anayo maneno ya kukushawishi. hivi vitu vimekaa kiimani sana. Rumi 10-17 Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.Acha mbwembwe, andika hizo Sheria zako zote na uonyeshe zinathibitishaje uwepo wa mungu.
Ukiulizwa unatakiwa kujibu kama ni ndiyo au hapana, hujui kusoma kwa ufahamu?Acha mbwembwe, andika hizo Sheria zako zote na uonyeshe zinathibitishaje uwepo wa mungu.
Usalama wa muamini mungu yeyote ni kusema anaamini mungu kwa imani na experiences zake binafsi tu. Muamini mungu yeyote akianza kujaribu kuleta mambo ya uthibitisho tena ya sayansi lazima apasuke tu ššš Sidhan kama anayo maneno ya kukushawishi. hivi vitu vimekaa kiimani sana. Rumi 10-17 Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
šMimi nataka kukupa challenge sio kwa ubaya lakin. Ww nithibitishie kwa hoja moja kuwa mungu hayupo bila kutumia hoja za kisayansi maan hizo hoja zimewekwa na watu. Mim natak hoja yako wwUsalama wa muamini mungu yeyote ni kusema anaamini mungu kwa imani na experiences zake binafsi tu. Muamini mungu yeyote akianza kujaribu kuleta mambo ya uthibitisho tena ya sayansi lazima apasuke tu š
Wewe ndiye unayeishi kwa imani ya Kufikirika. Usalama wa atheist wa mitandaoni kama wewe ni kujidai kuwa mnaijua sayansi kumbe ni weupe tu, unaiamini nadharia ya ulimwengu kujitengeneza wenyewe kutoka kwenye utupu bila kuwa na uthibitisho wowote, huoni kama ni kujionyesha huelewi hata unacho kipinga ni nini?Usalama wa muamini mungu yeyote ni kusema anaamini mungu kwa imani na experiences zake binafsi tu. Muamini mungu yeyote akianza kujaribu kuleta mambo ya uthibitisho tena ya sayansi lazima apasuke tu š
Unakumbuka zile story ulikuwa unapigiwa au kuzisoma kwenye vitabu vya watoto ukiwa mdogo kuhusu sungura wanaozungumza?šMimi nataka kukupa challenge sio kwa ubaya lakin. Ww nithibitishie kwa hoja moja kuwa mungu hayupo bila kutumia hoja za kisayansi maan hizo hoja zimewekwa na watu. Mim natak hoja yako ww