Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,553
- 31,598
Ulimwengu haukuanza.Muda ni sehemu ya ulimwengu. Hakuna wakati ulimwengu haukuwepo kwa sababu muda ulianza pale ulimwengu ulipoanza.
Muda upo ndani ya ulimwengu.
Muda unapita ndani ya ulimwengu, Lakini Ulimwengu unaendelea kuwepo tu.
Ulimwengu umekuwepo milele. Haukuanza.
Ulimwengu umekuwepo, upo na utaendelea kuwepo milele.
Hiyo hali isiyo na muda ilikuwa kwenye nini?Kabla ya hapo kulikuwa na timelessness hali isiyo na muda.
Muda upo ndani ya ulimwengu ambao haukuanza.Na kilichosababisha muda uanze lazima kiwe kiko nje ya muda. Huyo ndio Mungu.
Huyo Mungu hayupo na hajawahi kuwepo.
Usifosi imani zako uchwara ulizopumbazwa.Soma fizikia uache kukariri maneno ya vijiweni.